Kama ulikua hufahamu Wahenga

Kumbe ndo hawa wahenga wanaotuambia
"Mvumilivu hula mbivu" halafu wanakuja kutuambia eti "ngoja ngoja huumiza matumbo"
"Haraka haraka haina baraka" vs "chelewa chelewa utamkuta mwana si wako".....khaa!!
 
Alafu eti wakatuletea msemo wao eti mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio
 
Kumbe ndo hawa wahenga wanaotuambia
"Mvumilivu hula mbivu" halafu wanakuja kutuambia eti "ngoja ngoja huumiza matumbo"
"Haraka haraka haina baraka" vs "chelewa chelewa utamkuta mwana si wako".....khaa!!
Ndy hao..waliotwambiya hayo yote...ila walitaka tutumie akili zetu vzr ndy maana wakaweka MISEMO na OPPOSITE yake...
 
hao wazeee mbona wana sura ya upole sana wana maneno hao eti haba na hana hujaza kibaba
 
Kwa kizazi hiki cha nyoka, kizazi cha season, hahaaaa labda wahenga wa kuimba mistari
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…