GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,948
- 119,221
Asanteni sana Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili ( TUKI ) kwa Toleo lenu la 3 la Kamusi yenu ya Kiswahili - Kiingereza kwa Kuyaandika bila Tafsida yoyote majina ya Sirini ya Wanawake na Wanaume kama ambavyo tukiwa Mitaani tunayatumia na hata tukizinguana huwa tunayatumia vile vile.
Sasa kama Wasomi, Watafiti na Wanasayansi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wameandika Mbunye kama inavyoitwa na Mkuyenge kama unavyoitwa Wewe ni nani ukatae kuyatumia au ujifanye kuona Aibu ukiyasikia au yakitumika au hata Wengine kupewa Adhabu pale wakiyatumia Mitandaoni?
Tuacheni Unafiki.