matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,853
- 19,073
Yesu aliwahi kusema huwezi kupigana vita kabla hujajua nguvu ya upande unaopigana nao. Mfalme mwenye wanajeshi 10K akigudua mpinzani wake qnao 20K atatafuta qmaninaye kqbla vita haijamuathili.
Kwa kusema hivyo alimaanisha ukijua huna nguvu kuliko adui yako hapo unaopsheni mbili, kuungana naye ili asikudhuru. Au kuupinga kwa kuungana na nguvu kubwa kuliko ya ufalme huo, Akimaanisha ungana na Ufalme wa Mungu kudhibiti walio nyuma ya mambo ya giza kwa msaada wa ufalme ule.
Kama hata rais wa Nchi yenye misuli minene analalamika, na kuahidi kuondoa mitaala korofi hamasisha ushoga mashuleni Us, nani yuko nyuma ya ushoga duniani?
Je ni Mpinga kristo?
Je ni Wasomi wasioamini Mungu?
Je ni illuminati au freemasonry?
Je ni watawala wa dunia wenye ajenda za siri?
Kiuchambuzi unadhani nani aliyenyuma ya mtandao mkubwa huu wenye mikono kila kona duniani kwa wazi na kwa siri?
Ni hayo tu.
Mtumishi matunduizi