Hiyo kiboko!!! Mwaka 2006 nimefika Kisarawe district hospital nikiwa nimeongozana na wife nakutana na Vijana wamejiinamia wakisikia majina yakiitwa wanaogopa, kuuliza naambiwa wamelazimishwa kufika na wenza wao!! Ni utaratibu mzuri
Hapo kama ni mm naenda kijiji cha mbali tofauti na nilipo zaliwa natafuta lijamaa nakubaliana na mchepuko hili lijamaa nitalivalisha uhusika wangu halafu naskilizia