Kama nchi/serikali itakuwa na lengo la kuanzisha viwanda vya magari na simu, ipi itatakiwa iwe starting point?

Fene

JF-Expert Member
May 4, 2021
2,806
4,401
Hivi kama serikali yetu rasmi ikiamua kujitutumua nasi tuwe mabingwa wa ku export kiafrika Afrika
Na kuamua kufanya uwekezaji katika nyanja hizi mbili simu ambazo zitakuwa made in Tanzania na magari, je zipi hatua watazopaswa kufuata
1.kuwekeza zaidi kwenye elimu hususa masomo ya sayansi?
2.Kukopa kiasi kikubwa cha fedha ikiwa ni kama mtaji?
3.Kukaa chini na mafundi makanika na mainjinia na kuwasikiliza?
5.Kuwapeleka watanzania kadhaa nje wakajifunze mambo yanavyokuwa then warud home
5.............?

Kuna mda tumekuwa tukilaumu "hakika sisi ni wa mwisho hatuwezi kutengeneza hata mkokoteni" huku tukiwa tumesahau sisi ndio watanzania wenyewe tunaopaswa

Ipi ni unadhani hatua inayopaswa kuchukua nchi kama nchi ikiamua nasi rasmi tunataka tuzalishe vya kwetu?
 
Moja. Ccm akae nje ya uongozi
Mbili tufungue veta za kutosha
Tupunguze University then tuongeze vyuo vya kati
Kila mkoa upewe jukumu kuu. Moja au mbili
 
Back
Top Bottom