Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,799
Jamani, asiwaambie mtu, kulea watoto wa kike ni kazi kubwa sana. Ni wito unaohitaji nguvu kubwa na akili nyingi.
Nimejaribu kuchek na baadhi ya marafiki na majamaa, nimeona wengi kati yao wamejaaliwa kuzaa mtoto wa kwanza wa kike na wa pili wa kike!
Kulingana na nadharia za probability of an event, chances are hata wakizaa tena kuna uwezekano wa 75% ya kupata mtoto wa tatu wa kike na only about 25% ya kupata mtoto wa kiume.
Ili kueupuka kuzeeka mapema kwa stress za malezi, fanya tu kama Obama... Fungeni kizazi mlee hao hao watoto mliokwisha wapata.
Mimi naamini watoto ni watoto na wote wana uwezo sawa tu wa kukusaidia huko uzeeni!