Kama Martin Luther aliweza kujitoa kanisa la Roma na kuunda KKKT, kwani Mchungaji Kimaro anashindwa nini?

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,580
15,789
Historia KKKT ilitokana na Martin Luther baada ya kuona kuna tatizo ndani ya kanisa la Roma kama kuomba msamaha kwa kuwa na kadi na mambo mengine kibao.

Kwa haya yanayoendelea KKKT sio leo wala jana inaonesha idadi ya walokole hutokea KKKT na wachungaji wao ambao wamekwazana.

Leo Mchungaji Kimaro kupigwa vita sio mgeni bali ni wengi ambao wamepigwa vita na kuondoka kimya.

Usije shangaa Mchungaji Kimaro kuwa na kanisa lake.

Walokole wengi wametoka KKKT jaribuni kuchunguza kwa makini.
 
Martin Luther alianzisha KKKT? Kwa hiyo Luther alikuwa Tanganyika/Tanzania? Ina maana tanganyika/tanzania ilikuwepo karne hiyo wakati luther anajitenga na katoliki? Luther alikuwa mprotestanti na wafuasi wake waliitwa Lutheran, ndio hawa walutheri ulimwenguni. Walutheri wa tanzania ni hawa KKKT.

Ugnda, kenya na kwingineko duniani wana namna yao ya kujiita kulingangana na jina la nchi yao au mahali walipo kijiografia na kisiasa. Wana baraza lao ulimwenguni viongozi wao wanakokutana kwa mikutano yao.

By the way mambo ya kujitenga yalianza karne nyingi na yanaendelea, kama mchunguji kimaro anaona anaweza kuanzisha kanisa lake aanzishe tu maana tayari ana watu wa kutosha kuanzisha huduma ya kiroho.

Uzuri katiba ya nchi inampa uhuru wa kuabudu anachokiamini kuliko kuendelea kusuguana ndani ya kkkt
 
Kiukweli mm namuona Kimaro Kama mnyenyekevu kupitiliza (Hadi anakera).
 
Kama vip haondoke tu hawa ndio wanatualibia Lutheran yetu, KKKT ni kanisa lenye misingi na utaratibu rasmi wa uendeshaji wa ibada zake na miongozo ya kikanisa ipo, kama yupo nje ya hapo lazima hatua zichukuliwe. haya mambo ya ujuaji hatutaki akatoe huduma kwingine wapo wengi tu kwenye historia ya kanisa waliotolewa na wakaendelea kwingineko
 
Historia KKKT ilitokana na Martin Luther baada ya kuona kuna tatizo ndani ya kanisa la Roma kama kuomba msamaha kwa kuwa na kadi na mambo mengine kibao.

Kwa haya yanayoendelea KKKT sio leo wala jana inaonesha idadi ya walokole hutokea KKKT na wachungaji wao ambao wamekwazana.

Leo Mchungaji Kimaro kupigwa vita sio mgeni bali ni wengi ambao wamepigwa vita na kuondoka kimya.

Usije shangaa Mchungaji Kimaro kuwa na kanisa lake.

Walokole wengi wametoka KKKT jaribuni kuchunguza kwa makini.
Martin Luther alikuwa na hoja za msingi ambazo RC walizikataa enzi hizo lakini kwa neema ya Mungu miaka ya karibuni wamezikubali na kupelekea kutangaza rasmi kuwa Martin Luther hakukosea.Na ibada high level ya upatanisho ya madhehebu haya mawili ilishafanyika kitambo.Kwa sasa ni kanisa moja bali tu kila institution itabaki kama ilivyo na waumini wake na taratibu zao.Japo itachukua miaka kwa sharika na parokia kulibeba hili vizuri ila ibada high level kabisa nakumbuka imeshafanyika.
Sasa Kimaro ana hoja gani kubwa nadhani asikilize vizuri viongozi(mamlaka huwekwa na Mungu) na ikiwa amekosa basi anyenyekee na kuomba radhi itampa heshima sana.Napenda huduma yake,namwombea.
 
Na aanzishe hapohapo K'nyama anapofahamika zaidi.

Kama mpaka akina Masanja wana makanisa yeye anayesemwa kuwa na karama na kipawa anashindwa nini?
 
Historia KKKT ilitokana na Martin Luther baada ya kuona kuna tatizo ndani ya kanisa la Roma kama kuomba msamaha kwa kuwa na kadi na mambo mengine kibao.

Kwa haya yanayoendelea KKKT sio leo wala jana inaonesha idadi ya walokole hutokea KKKT na wachungaji wao ambao wamekwazana.

Leo Mchungaji Kimaro kupigwa vita sio mgeni bali ni wengi ambao wamepigwa vita na kuondoka kimya.

Usije shangaa Mchungaji Kimaro kuwa na kanisa lake.

Walokole wengi wametoka KKKT jaribuni kuchunguza kwa makini.
ungemaliza kusema siku za mwisho kabla ya kufariki alifanya nn ?
 
Historia KKKT ilitokana na Martin Luther baada ya kuona kuna tatizo ndani ya kanisa la Roma kama kuomba msamaha kwa kuwa na kadi na mambo mengine kibao.

Kwa haya yanayoendelea KKKT sio leo wala jana inaonesha idadi ya walokole hutokea KKKT na wachungaji wao ambao wamekwazana.

Leo Mchungaji Kimaro kupigwa vita sio mgeni bali ni wengi ambao wamepigwa vita na kuondoka kimya.

Usije shangaa Mchungaji Kimaro kuwa na kanisa lake.

Walokole wengi wametoka KKKT jaribuni kuchunguza kwa makini.
wakirisito nyote imani yenu 1 tu kuamini kuwa yesu mungu na maria mama wa mungu pia uamini kuwa huyo mungu alikufa msalabani

ukisha kili hivio kutoka moyoni umekuwa mkiristo siji walokole sio uchafu gani hizo ni mbwembwe tu
 
Aanzishe kanisa hapo hapo ambapo alikua anaingiza pesa nzuri aendelee kuokoteza sadaka,
 
Usimpotoshe Kimaro, Nakukumbusha Na Ujue Wazi Makanisa Yasiyo Taasisi Huimarika Kwa Muda Mfupi Sana Baadaye Huduma Zao Huzorota Mpaka Kujifia

Tanzania Hapo Mmeona Waanzisha Makanisa Maarufu Sana Wenye Miujiza Tele
Kakobe

MWINGIRA
Lusekelo
Suguye

Na Wengine Aina Hiyo Utaona Baadhi Huduma Hakuna

Tazama Taasisi Kongwe Zenye Utaratibu Zipo Tu
RC ,KKKT,ANGLICAN, MORAVIAN, SDA Na Nyingii Zipo Imara
 
Kwa heshima na taadhima namuomba Mungu asiruhusu kujitenga na kanisa. Kimaro jiepushe na mawazo ya aina hii, ni mawazo ya kishetani
 
Kuanzisha kanisa napo ni changamoto,kumbuka wengi wanaoanzisha haya makanisa wanapitia mlango wa makanisa ya kipentekost (walokole),sasa yeye atakuwa modified kkkt au mlokole.Ngoja tuone
 
wakirisito nyote imani yenu 1 tu kuamini kuwa yesu mungu na maria mama wa mungu pia uamini kuwa huyo mungu alikufa msalabani

ukisha kili hivio kutoka moyoni umekuwa mkiristo siji walokole sio uchafu gani hizo ni mbwembwe tu

wewe unaye muamini mtume anaye kusimulia mabikra
 
Back
Top Bottom