Kama Mama Anna Mwingira angekuwa Rais wa JMT!!

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
7,846
17,232
Wakuu habari za mchana!


Kama mama Anna Mwingira ingekuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania unadhani angeweza kutengua haya majipu anayo tengua Mh Dr Magufuli??
 
Reactions: MTK
yule mama alikua ni zitto katka jinsia ya kike, angeshinda ndo ungemwona katka jinsia ya kiume.
 
Wakuu habari za mchana!


Kama mama Anna Mwingira ingekuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania unadhani angeweza kutengua haya majipu anayo tengua Mh Dr Magufuli??
AM Angeweza sana na kubwa zaidi ni kwamba angekuwa very systematic and thorough, na bila double standards kama tunazozishuhudia leo hii. Anna is very solid upstairs, ni mama wa nguvu sana.
 
Kutengua majipu ni utashi wa kiongozi husika kutumia sheria zilizopo,zinazomtaka afanye hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…