Mkuu Mmawia naona umeanza kulainika....Nimefuatilia baadhi ya maamuzi ya rais Magufuli na kugundua kuwa anaonyesha kuwa ni mzalendo na mwenye uchungu na rasilimali za nchi hii, hivyo basi nakuomba Mh rais yaondoe haya mashangingi yanayotumiwa na wakuu wa wilaya, mikoa na Mawaziri ili tuamini kuwa umeamua kupunguza matumizi ya serikali.
Kweli kabisa mkuuMkuu Mmawia naona umeanza kulainika....
Anyways, ni kitu kizuri inaonekana umeachana na ushabiki...back to topic, hata mimi pia nina hamu sana haya magari yapigwe chini...
1. Gharama ya kuyanunua iko juu
2. Service yake iko juu (spare parts etc)
3. Gharama za kuliweka barabarani pia ziko juu (Matumizi ya Mafuta)
Kwaufupi, hayo magari ni mizigo kwa serikali
Kulainika kivipi mkuu?kuna masuara ya kitaifa na yale ya kinazi .Mkuu Mmawia naona umeanza kulainika....
Anyways, ni kitu kizuri inaonekana umeachana na ushabiki...back to topic, hata mimi pia nina hamu sana haya magari yapigwe chini...
1. Gharama ya kuyanunua iko juu
2. Service yake iko juu (spare parts etc)
3. Gharama za kuliweka barabarani pia ziko juu (Matumizi ya Mafuta)
Kwaufupi, hayo magari ni mizigo kwa serikali
Unataka viongozi wakubwa wa serikali watumie magari gani mkuu???..verossa au???Mkuu Mmawia naona umeanza kulainika....
Anyways, ni kitu kizuri inaonekana umeachana na ushabiki...back to topic, hata mimi pia nina hamu sana haya magari yapigwe chini...
1. Gharama ya kuyanunua iko juu
2. Service yake iko juu (spare parts etc)
3. Gharama za kuliweka barabarani pia ziko juu (Matumizi ya Mafuta)
Kwaufupi, hayo magari ni mizigo kwa serikali
Nimefuatilia baadhi ya maamuzi ya rais Magufuli na kugundua kuwa anaonyesha kuwa ni mzalendo na mwenye uchungu na rasilimali za nchi hii, hivyo basi nakuomba Mh rais yaondoe haya mashangingi yanayotumiwa na wakuu wa wilaya, mikoa na Mawaziri ili tuamini kuwa umeamua kupunguza matumizi ya serikali.
Usemayo ni kweli mkuu inabidi uongozi huu unaojipambanua kuwa ni wa kizalendo zaidi uyafanyie kazi haya mamboVisima 5 - 10 vya maji safi vinaweza kuchmbwa na kuwekewa pampu za nguvu ya jua kwa bei ya V8 moja. Kama nilivyosema, nimeshihudia Pangani yote inatumia maji machafu ya visima vya kuchimba kwa mkono. Na huo ni mfano tu. Na imekumbwa na kipindupindu.
Ukipitana na kiongozi barabarani yuko kwenye V8 na huku wananchi anaowaongoza wanaharisha damu kutokana na kukosa maji safi, ujue unapishana na MWEHU.
Mkuu upo sawa lkn watumie magari ambayo yana gharama nafuu ili kodi ya mtanzania wa kawaida imrudie kumnufaisha kwenye huduma za afya nkPoliticians na watumishi wakuu wa serikali ni tabaka la maisha ya anasa tangu enzi za zama za kifalme.
Hatuwez kuuondoa huu utaratibu ambao upo enz na enzi, suala ni wakati tu enzi hizo walipanda farasi wa kifahari leo wanatembelea mashangingi.
Politicians na watumishi wakuu wa serikali ni tabaka la maisha ya anasa tangu enzi za zama za kifalme.
Hatuwez kuuondoa huu utaratibu ambao upo enz na enzi, suala ni wakati tu enzi hizo walipanda farasi wa kifahari leo wanatembelea mashangingi.