comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,664
- 5,000
Dini zipo nyingi
sio uislamu na ukristo tuu
kabla ya watu weupe kuja africa tulikua tunaabudu mungu kupitia dini gani??
Mungu si yupo tuu kabla hata ya hizi dini za watu weupe kuja?
Hizi dini mpya za kikoloni ni utapeli
(mungu yupo) ila tafuta namna ya kumuomba kama mababu zako walivyofanya kabla ya hawa matapeli wa kikoloni kutuletea huu utapeli!
Mchina anapiga hatua tuu na dini zake za asili dini za kitapeli kama hizi alishazikataa!
Mungu hana dini, mungu hakuleta dini yoyote!
Dini ililetwa ili kuwapumbaza watu ili tutawalike, cha ajabu wakoloni wameondoka lakini sisi bado tunashika dini zao na mila zao
tuamke.
Dini ni biashara, dini ni njia ya kutawala wengine, dini ni siasa