Kama Kuna mtu anahisi anaweza muziki anaimba aje nimpe promo

King Loto

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,581
1,357
Aseee kwemaaa heee kama yupo mwenye anavutiwa kuimba aje tufanye promotion apaeee kwa kiki,

awe wakiume awe wakike aje tuone...hit up my dm asap for music arguments natafuta kina burna boy au Drake,

mwenye kujua lugha ya kiingereza itakuwa poa sana, akiweza kufanya mixing ya vocal siyo mbaya....

Nachotaka kufanya ni kumbrand na kumpa ABCD za kuteka soko kirahisi.
Naamini bado soko la bongo unaweza penya ushindani bado japo kila mtu atasema wasanii wengi kumbuka Riziki mafungu Saba yaweza kuwa yako...

Nigeria tuna wasanii wengi ila kila mmoja anahit kivyake davido adeleke, patoraking, wizkid, oluwa burna boy, psquare, tekno, 2baba, donjazzy, D.banj, rekadobanks, kizzdaniel, timaya timaya, 2niteflavor, kcee, iamayorkun, Zlatan iblie, olamide, iyanya, tiwa savage, chidma, cuppymusic, yemi alade, n.k na rekodi label nyingi nigeria.

Sasa Tanzania tuna msanii mmoja tu (sitaki kumtaja😂😂😂) na wakike mmoja, wengine ni maproducer 😂😂😂 kidding utani wa kwelii.
 
Wasanii wachache sana.wapenda kiki lundo sana wape LIVE show hata mimi ntaimba vizuri hhh kiding too.

Sent using Brain
 
Mimi Nina mangoma kama matano nayasikiliza magetoni tu, moja iko YouTube ila views hawafiki hata 100. Maisha yanabagua sana.
 
Aseee kwemaaa heee kama yupo mwenye anavutiwa kuimba aje tufanye promotion apaeee kwa kiki,
awe wakiume awe wakike aje tuone...hit up my dm asap for music arguments natafuta kina burna boy au Drake,
mwenye kujua lugha ya kiingereza itakuwa poa sana, akiweza kufanya mixing ya vocal siyo mbaya....
Nachotaka kufanya ni kumbrand na kumpa ABCD za kuteka soko kirahisi.
Naamini bado soko la bongo unaweza penya ushindani bado japo kila mtu atasema wasanii wengi kumbuka Riziki mafungu Saba yaweza kuwa yako...
Nigeria tuna wasanii wengi ila kila mmoja anahit kivyake davido adeleke, patoraking, wizkid, oluwa burna boy, psquare, tekno, 2baba, donjazzy, D.banj, rekadobanks, kizzdaniel, timaya timaya, 2niteflavor, kcee, iamayorkun, Zlatan iblie, olamide, iyanya, tiwa savage, chidma, cuppymusic, yemi alade, n.k na rekodi label nyingi nigeria.
Sasa Tanzania tuna msanii mmoja tu (sitaki kumtaja😂😂😂) na wakike mmoja, wengine ni maproducer 😂😂😂 kidding utani wa kwelii.
Kwa waimbaji wa Gospel VP?
 
Back
Top Bottom