Kama kujiuzuru kwa Ali kamwe ni Sababu ya kurudi kwa Haji Manara . Ni bora Manara aondoke Yanga
Thread hii sehemu ya kuzungumza ukweli ikiwa Aki kamwe kujiuzuru ili haji Manara achukue nafasi yake usiungaishwe na thread zingine..
Taarifa iliyopo sasa
A Good dancer must know when to Leave a Stage.
ππ‘π’πππ’ππ§πππ ππ§π’ππ ππππ‘ππππ€π ππ’ππ’π ππ π€ππππ‘π ππππ π€π ππ’πππππa π½π’ππ€ππππ..
Maneno ya hekima kutoka katika kinywa cha Patrick Loch Otieno Lumumba;
Na ni Hekima hii, inanituma mbele yenu Wananchi, Mashabiki na Wanachama wa Klabu yetu pendwa, kuwaambia kuwa, Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani.
Nimesimama Miaka miwili juu ya hili Jukwaa, Tumeimba, Tumecheza, Tumefurahi na Alhamdulillah Tumeshinda pamoja kila pambano Lililokuja mbele yetu.
Muda wangu umemalizika na Asanteni sana.
Tutaonana tena Wakati mwingine nikiwa na kitu kizuri cha kuwaonyesha Juu ya Jukwaa.
DaimaMbeleNyumaMwiko.
Mwenyekiti wa Wasemaji
Ally Kamwe.
View attachment 3055510