Kama ilivyo Alibaba China ni app gani naweza kuitumia kununua vitu Dubai

hermanthegreat

JF-Expert Member
Mar 2, 2021
1,195
3,027
Wakuu kama Mada tajwa hapo juu inavojieleza, wakati napitia Facebook Marketplace nimegundua kuna bidhaa zina bei ya chini sana Dubai.

Mfano: Hiyo tecno 106, ina 12k China alibaba, ina 25k up to 35k Bongo lakini kilichonivutia zaidi ni ina AUED 1 , sawa na Tsh.700 yaani 0.7k Dubai.

Facebook Marketplace sio safe sana hadi biashara ifanyike physically, online shopping app ipi inanikutanisha na sellers wa Dubai.
Screenshot_20240417_005141.jpg
 
View attachment 2965845
Huyu jamaa hapa anaishi dubai waweza kumuagiza👇👇👇
Inaitwa TEMU...ILA Haina maajabu View attachment 2999541
Mwanetu umekaa dubai siku kadhaa tu ushajaza app za kiarabu kwny cmu dah!!

😂😀😀😀Just joking
 
Back
Top Bottom