Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,471
- 12,373
mkuu unatumia app gani ku edit hapo juu ya screenshot namba ulizozifura?Kabla ya kutuma sms muwe mnahakiki kama unae mtumia ni mtu sahihi.
hebu cheki huyu mama alivyo umbuka.
je angekua ni mkeo ungefanyaje?
BINAFSI NISINGEKUA NA MJADALA NI TALAKA TU ASUBUHI ASUBUHI.View attachment 342075
Fungua Edit.... N then una draw kw kuchagua color!mkuu unatumia app gani ku edit hapo juu ya screenshot namba ulizozifura?
Mkuu utawaua kwa presha wenye wake zao walimu...Kama mkeo ni mwalimu, namba yake inaanzia na code 0716, halafu last six digits zinaanza na 7...., huwa anenda job half-day siku za jumamosi, basi unganisha dots. Haya ni manyoya yanapepea.
Hah ha ha...mie nlikuwa najaribu tu kufix scattered pieces. I have gone with the most likely possibility. Certainly, there could be several alternative intepretations, but message kuu ni Mrs (wa mtu) kaomba KULIWA asubuhiMkuu utawaua kwa presha wenye wake zao walimu...
Yawezekana huyu ni mke wa mtu anayesomea ujasiriamali sehemu flani..... hajasema sehemu huku shuleni anaenda kufundisha au kusoma
Hahahahaa hatari sana hii... ngoja tupeane moyo tu
Ataipeleka kwa wenye kuelewa maana unakiona baadae mkuuMi nimemtumia mke wangu jana, ila hakuelewa kitu, duuh mpaka sasa siamini, maana sms ilikuwa na tafsida
ingia play store andika photo editor..then ukisha download ifungue weka picha then chini utaona option kibao we chagua draw ina kialama cha karamu.mkuu unatumia app gani ku edit hapo juu ya screenshot namba ulizozifura?
ndo mana mwenyewe akasema amekosea...kajichanganya kutuma kwenye group na ndo mana huyo jamaa mwingine anamshangaa..Hizo chats mbona ni za group?