Kama Hana mtoto hakikisha umempa mimba

Yukwapi

Member
Aug 27, 2024
37
50
Habari za muda huu Wana Jf

Kutokana na halihalisi ya mabinti wa Sasa hivi kujiachia sana Hali imezidi kua Tete sana, Mimi ni kijana mwenye umri wamiaka 27 nilikua nampango wakuoa mwaka huu baada yakukamilisha mambo yangu nakujiweka sawa kiuchumi lakini mwaka unaisha naona kama sifanikishi.

Kwa miaka ya nyuma tulikua tunashauriwa kuoa mwanamke ambae nibikra ila kwa Sasa tunashauriwa tuhakikishe Hana mtoto sababu hata bikra sikuhizi zinatolewa wakiwa na miaka Saba.
Katika mapambano yangu yakutafta mtuu wampaka kifo kitutenganishe wote niliokutananao tayari wamesha zalishwa na hawawajui baba wa mtoto nawengine nimabint wa miaka 17 inasiktiisha sana na inakatisha tamaa.

Swali lakujiuliza ? Je wazazi wanakwamawapi katika malezi ??
Haiwezekan mtaaa mzima Binti hakuna Binti anaefaa kuolewa na wote wanaokuja nyuma ndiotishio kubwa sana mabinti wanatoka shule nakwenda kulala na madereva toyo mpaka saa mbili usiku wakisingizia walikua wanajisomea na inafikia mahali unakuta Binti kaleta wanaume nyumbani kwao wazazi wakiwa hawapo wanashinda ndani siku nzima wakichezeana alafu ukimwambia mzazi wakee anakukashifu na kukuletea fujo mpaka inafikia mahali unawaombea tuu nawao wapate mimba ili watulize vikojoleo (pumbafu Sao kabisa).

Inasiktiisha sana na isitoshe unakutana na mwanamke kazalishwa alafu katelekezwa unapiga sound kiutani utani ili akulegezee ujishikize kwa muda anakwambia mpaka ndoa namahari million 3 dahh shindwa pepo utamu wote umeumalizia huko kwenye milima na mabonde alafu minitoe m3 kafie mbele ya safari Kila mtuu abebe mzigo wake umezalishwa pambana na aliekuzalisha usitusumbue mshatuchosha

Wazazi kaeni na watoto wenu vizuri msiwashauri watunyime ila waambieni waweke hata vijiti ili kunusuru tumbo

Yangu nihayotuu ngoja niendelee kuliaa tuu
 
Bikra wapo.
You have a scarcity mindset tu .
Kuwa mwema alafu mtangulize Mungu, unapata mwanamke safi bikra. Mi nshakutana nao wengi tu tena mijini. Achana na uongo wa JF.
 
Hali imeharibika sana sikuhizi

Kwa wengi sasahivi hata kushika tu mimba na kuzaa ni changamoto kubwa na akijitahidi sana ataambulia mtoto mmoja kwa njia ya Operation
 
Mbona wengi hata 33 years bado wanajitunza
Kabisa mkuu , nashangaa mtu kusema bikra hawapo.
Usioe mwanamke asiye bikra kabisa, kwanza ni manipulators pili wanabeba emotional luggage na trauma na mwisho ni B2B midfielders.
 
Tatizo la Kushika mimba kwa sasa sio shida ya wadada.

Health system ishakua compromissed, Na inaathiri sana Mifumo ya uzazi ya kina mama/Dada zetu.

Tuendelee kunywa pepsi.
 
Habari za muda huu Wana Jf

Kutokana na halihalisi ya mabinti wa Sasa hivi kujiachia sana Hali imezidi kua Tete sana, Mimi ni kijana mwenye umri wamiaka 27 nilikua nampango wakuoa mwaka huu baada yakukamilisha mambo yangu nakujiweka sawa kiuchumi lakini mwaka unaisha naona kama sifanikishi.

Kwa miaka ya nyuma tulikua tunashauriwa kuoa mwanamke ambae nibikra ila kwa Sasa tunashauriwa tuhakikishe Hana mtoto sababu hata bikra sikuhizi zinatolewa wakiwa na miaka Saba.
Katika mapambano yangu yakutafta mtuu wampaka kifo kitutenganishe wote niliokutananao tayari wamesha zalishwa na hawawajui baba wa mtoto nawengine nimabint wa miaka 17 inasiktiisha sana na inakatisha tamaa.

Swali lakujiuliza ? Je wazazi wanakwamawapi katika malezi ??
Haiwezekan mtaaa mzima Binti hakuna Binti anaefaa kuolewa na wote wanaokuja nyuma ndiotishio kubwa sana mabinti wanatoka shule nakwenda kulala na madereva toyo mpaka saa mbili usiku wakisingizia walikua wanajisomea na inafikia mahali unakuta Binti kaleta wanaume nyumbani kwao wazazi wakiwa hawapo wanashinda ndani siku nzima wakichezeana alafu ukimwambia mzazi wakee anakukashifu na kukuletea fujo mpaka inafikia mahali unawaombea tuu nawao wapate mimba ili watulize vikojoleo (pumbafu Sao kabisa).

Inasiktiisha sana na isitoshe unakutana na mwanamke kazalishwa alafu katelekezwa unapiga sound kiutani utani ili akulegezee ujishikize kwa muda anakwambia mpaka ndoa namahari million 3 dahh shindwa pepo utamu wote umeumalizia huko kwenye milima na mabonde alafu minitoe m3 kafie mbele ya safari Kila mtuu abebe mzigo wake umezalishwa pambana na aliekuzalisha usitusumbue mshatuchosha

Wazazi kaeni na watoto wenu vizuri msiwashauri watunyime ila waambieni waweke hata vijiti ili kunusuru tumbo

Yangu nihayotuu ngoja niendelee kuliaa tuu
Ndio wanaume mpeane elimu muache kuparamia vitoto vidogo.....
 
Minilikutana na chadarasa la Sita kameweka kijiti alafu kana shanga kiunon duhhh nilichoka
 
Back
Top Bottom