Kama fununu za Sven kurudi ni kweli basi ni aibu sana kwa CEO Barbara

Uwe na focus, unazungumzia Sven au unazungumzia Mgunda kupewa Range?
Kuhusu taarifa mbona imetolewa na Ahmed mara kibao tu, au unataka mpaka akuketee wewe
Acha uongo kama ni hizo interviews na vi ONLINE tv vya wenye laptop moja na microphone moja na bando za 10,000 ... mara kibao anasema kwa sasa itambulike mgunda ni kocha mwenye mkataba taarifa rasmi itatolewa hakuna press release rasmi ya kusema mgunda ni kocha mkuu, ACHA UPOTOSHAJI
 
Kwani taarifa ni nini na inatakiwa kutolewa na nani. Kusoma hujui hata picha huoni. Umeambiwa tumesitisha mchakato wa kocha wewe unakaza shingo toeni taarifa rasmi.
 
Kwani taarifa ni nini na inatakiwa kutolewa na nani. Kusoma hujui hata picha huoni. Umeambiwa tumesitisha mchakato wa kocha wewe unakaza shingo toeni taarifa rasmi.
maneeno meeengi, hizo taarifa za funika kombe mwanaharamu apite zinazotolewa mtu akidakwa juu kwa juu katoka kucheki mechi taifa ,kama wako serious wamtambulishe kwa heshima kama wanavyofanya kwa makocha wenye ngozi nyeupe
Mchakato umesitishwa THEN WHAT? bado wanamuangaliangalia kama anafaa siyo? si watoe press release sasa?
Hivyo vi interview na mpalange online tvs nimeviona sana ni weeks 2 sasa mchakato umesitishwa HALAFU ? KOCHA MKUU KAPATIKANA KIMYAKIMYA SIYO BILA HATA PRESS RELEASE
Na wakishamtangaza rasmi tutapiga kelele apate marupurupu kama yale mataahira ya kizungu sababu mchakato wote umekaa kidharaudharau hadi sasa kwa mgunda
 
Upuuzi mtupu maana ata izo chat hapo naona yaan ni twisted conversation ...
 
Mnyonge mnyongen ila Barbara anahimizaga sana makocha wa kiafrika kuomba kazi simba

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Mnyonge mnyongen ila Barbara anahimizaga sana makocha wa kiafrika kuomba kazi simba

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
mara ya kwanza walituma sana yule wa horoya wa zamani, yule wa team ya taifa ya ghana wa zamani baadaye walivyogundua shobo mdundo lipo kwa ngozi nyeupe wakaacha ndiyo maana siku hizi utasikia wooote waliiiooomba ni wa ulaya
 
Wewe unataka hiyo press release watoe leo? Hiyo ni taasisi sio kikundi cha wahuni. Hiyo kauli ya Ahmed ipo wazi kwamba wamesitisha.

Simba ni taasisi, kama wameamua Mgunda awe kocha kuna process za menejimenti na bodi sio kuamka tu na kutangaza kwa sababu wewe umeanzisha uzi hapa.

Taarifa zimetolewa official media ikiwepo Clouds wewe unasema Mpalange TV!! Hujui kama hizo media zina usajili?
Taarifa na picha zinaonyesha Kocha wa Simba ni Mgunda, Simba na mashabiki wameridhishwa na Mgunda. Wazee kina Azzim wanasema Mgunda safi. MO kasema atazungumza na Mgunda masikilize. Sasa hizi chokochoko wewe unatoa wapi
 
kwa hiyo uzi wangu unadhani nampinga mgunda au nataka awe treated kwa heshima kama yale mataahira ya kizungu yanyokimbiaga hovyohovyo na kusambaza majungu kwa makanjanja ya nje ya nchi?
 
kwa hiyo uzi wangu unadhani nampinga mgunda au nataka awe treated kwa heshima kama yale mataahira ya kizungu yanyokimbiaga hovyohovyo na kusambaza majungu kwa makanjanja ya nje ya nchi?
Ni wapi Mgunda kawa treated vibaya?! Mgunda aliajiliwa kama kocha wa muda,unadhani ku adjust makubaliano ni kufumba na kufumbua tu? Kuna michakato ya kitaasisi. Acheni mamlaka ifanye kazi yake
 
Kishingo ndio kocha bora zaidi mgeni aliepita Msimbazi kwenye hii misimu mi5 iliyopita

Gomes alitembelea gia ya Kishingo na wachezaj walivyopungua akashindwa kutengeneza timu yake kwa players aliokuwa nao wakati husika

Hizi kelele zingine wanazoandika hawa wachafuzi wa soka wanaojiona wachambuzi ni kuwaacha tu

Ile timu iliyokwamia robo chini ya Gomes angekuwa Kishingo final tulikuwa tumeiona yule mwamba alijua kudeal hadi na wapiga shot

Wachezaji wakiwa mazoezini au kambini hakuna chawa anaeruhusiwa kufika.
 
Mimi hata akibaki Mgunda sioni mbaya muhimu tu apewe uhuru na kile anachohitaji ili kutekeleza kazi yake

Historia ya Kibadeni inaweza kujirudia tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…