Kama familia yako haina uwezo wa kula Milo mitatu Kwa siku hio ni familia duni

GOLD BOY

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
387
489
On point, kama familia yako huwezi kupata milo mitatu kwa siku hio familia ni duni au masikini, kwaio kama unajua kabisa wewe ni mchana na usiku tu ndio unapata chakula basi work hard my bro ili uyoke kwenye kundi la familia masikini.
Familia ya kati inauwezo wa kumudu Milo mitatu Hadi minne Kwa siku
Mwisho, vijana tupambane ili baadae tuwezekumudu kulisha familia Milo mitatu na zaidi
 
Ukisema kula milo mitatu unakuwa na maana gani kuna watu wanakula breakfast nzito asubuhi mchana anakuwa hana hamu ya kula hadi jioni so amekula milo miwili.

Mwingine hana ulaji mzuri anaweza asile tokea asubuhi hadi jioni ndio anakula msosi heavy.

Wengine huwa wanakula zaidi ya mara 6 kwa siku.
 
Ni umasikini unatakiwa ule Milo mitatu hio ya kunywa chai nzito ni Moja ya kujibana
 
Ukisema kula milo mitatu unakuwa na maana gani kuna watu wanakula breakfast nzito asubuhi mchana anakuwa hana hamu ya kula hadi jioni so amekula milo miwili.

Mwingine hana ulaji mzuri anaweza asile tokea asubuhi hadi jioni ndio anakula msosi heavy.

Wengine huwa wanakula zaidi ya mara 6 kwa siku.
Nakubaliana na wewe chief, kula mara mbili au tatu ni mapendekezo ya mtu au watu,,,lkn sio formular

Kwa mfano mimi binafsi kutokana na shughuli zangu kwa kipindi hiki nipo mazingira ambayo nakula mara mbili nikitoka nakunywa chai naenda vijijini ndani huko then narudi jioni ndio nakula msosi,,kwahiyo nakula mara mbili na nimezoea

Kwa faida zaidi huenda wengi wetu tunamchukulia poa dokta janabi lakini kiukweli unatakiwa ule pale unaposikia njaa tu

Mtume muhammad rehma na amani iwe juu yake nae ametuasa tule pale tunaposikia njaa,,kwahiyo hiyo ndio afya,,kwasababu maradhi mengi mwilini yanasababishwa na vyakula
 
Iyo sheria ya usukumani kwani lazima ule kwa siku mara tatu wew jamaaa unaonekana umezaliwa katavi
 
Soma na hii nimeitoa sehemu

Ninazungumzia familia mkuu na sio mtu mmoja kwenu ulipotola wanauwezo wa kumudu Milo mitatu Hadi minne kwa siku kama sio basi umetoka familia duni au masikini
 
Iyo sheria ya usukumani kwani lazima ule kwa siku mara tatu wew jamaaa unaonekana umezaliwa katavi
Kikawaida na kitaalamu zaidi unatakiwa ule Milo mitatu hadi 4, sema huna tu uwezo wakula Milo mitatu wewe pia ni masikini mkuu tafuta ela
 
Ni ajabu na unashangaza kama hadi karne hii utajiri au ufukara wa mtu unapimwa kwa chakula? Aiseeeeee, dogo bado upo zama za Ujima sana.

Nilisoma Masters China chuo cha China Agriculture University. Wachina wanakula mara 2 tu kwa siku. Nchi nyingi watu wanakula mara 2 tu kwa siku. Je nao maskini? Utaratibu wa kula unategemea na makuzi na mila za maeno mbalimbali.
 
Hakunaga utaratibu wa kushinda njaa kijana tafuta ela kama ni familia yenu basi ipo kwenye list ya kata duni
 
Mi nilishatoka huko. Mi sitafuti pesa wala sijiokotezi. Nilishavuka kuwaza nitakula nini au nitavaa nini? Hiyo nawaachie nyie mnaojitafuta kimaisha. Mi nilishayapatia dogo.

Yaani karne ya 21 una judge maisha ya mtu kwa chakula?
 
On point, kama familia yako huwezi kupata milo mitatu kwa siku hio familia ni duni au masikini, kwaio kama unajua kabisa wewe ni mchana na usiku tu ndio unapata chakula basi work hard my bro ili uyoke kwenye kundi la familia masikini.
Familia ya kati inauwezo wa kumudu Milo mitatu Hadi minne Kwa siku
Mwisho, vijana tupambane ili baadae tuwezekumudu kulisha familia Milo mitatu na zaidi
Si kwamba hatuna uwezo ila Dr janabi anatuambir tule milo miwili kwa siku
 
On point, kama familia yako huwezi kupata milo mitatu kwa siku hio familia ni duni au masikini, kwaio kama unajua kabisa wewe ni mchana na usiku tu ndio unapata chakula basi work hard my bro ili uyoke kwenye kundi la familia masikini.
Familia ya kati inauwezo wa kumudu Milo mitatu Hadi minne Kwa siku
Mwisho, vijana tupambane ili baadae tuwezekumudu kulisha familia Milo mitatu na zaidi
Vipi iwapo inaweza kula milo kumi na mbili tuiiiteje familia hiyooo🤪
 
Kuhusu kufa Wala usijari hata wewe utakufaa tuu. Tena nyingi nakula ugali wa mtama uwele.

Kuna jamaa kwake nyama nyekundu Hali hata Kwa Bahati mbaya hata Watoto wake kashawaambukiza Hilo Cha ajabu Kila asubhi boda analeta maini tupu ya mbwa wake jamaa. Ratiba ya kula mchana Hana . Japo nasikia Kwa Sasa ni marehemu mbwa wake alimuua.

Itoshe kusema Kila familia na formula yake. Huko uzaramoni wapo ladhi anywe chai na kitumbua au andazi Moja au hata chai pekee hawezi pitisha asbh hajala siyo Kwa tajiri Wala maskini ndo formula Yao.

Huku usukumani asbhi ugali uhusike na maziwa mchana vyakula vyepesi vyepesi kama viazi,wali, michembe nk usiku ugali uhusike vilevile.

NB:TUSIPANGIANE. Umasikini hauhusiki hapa
Ni kitaalamu zaidi ila watu mnaleta mazoea na ujuaji tu, haiwezekani asbh ule ugali wakati tumbo liko empty unatakiwa unywe chai ili kurainisha tumbo mtakuja kufa Bure shauri yako
 
Back
Top Bottom