Kama CHADEMA wamekataa nafasi 19 za Wabunge wa Viti Maalum na ruzuku basi watuombe radhi sisi Wapiga kura wao

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
93,165
162,446
Haiwezekani sisi wananchi tupange foleni kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua Tundu Lisu na Halima Mdee kwa mfano hapa Kawe halafu leo kirahisi rahisi tu Chadema wanadai hawazitaki nafasi za ubunge wa viti maalumu wala ruzuku eti wanataka haki!!

Haki gani wanayoidai hawa Chadema?

Mbona hawaendi mahakamani?

Hivi vyama vya siasa ni mali ya wananchi siyo mali ya mtu binafsi.

Sasa kama Chadema wamekataa viti maalumu wale akina Halima Mdee wanamuwakilisha nani bungeni?

Yule mbunge wa Nkasi status yake ikoje pale bungeni?

Kiukweli Chadema mnapaswa kutuomba radhi wapiga kura wa Tanzania hakuna namna.

Peoples...........Power!
 
Vyama vya siasa vingekuwa mali ya wananchi meko angeweza kuwafanyie vile wana ccm walioshinda kwenye kura za maoni za ubunge na kuwaweka anaotaka yeye?!!na alisema inategemea na atakavyoamka!!angewezaje kuwateua kina bashiru na polepole from no where, na mkatii amri?!!
 
Haiwezekani sisi wananchi tupange foleni kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua Tundu Lisu na Halima Mdee kwa mfano hapa Kawe halafu leo kirahisi rahisi tu Chadema wanadai hawazitaki nafasi za ubunge wa viti maalumu wala ruzuku eti wanataka haki!!

Haki gani wanayoidai hawa Chadema?

Mbona hawaendi mahakamani?

Hivi vyama vya siasa ni mali ya wananchi siyo mali ya mtu binafsi.

Sasa kama Chadema wamekataa viti maalumu wale akina Halima Mdee wanamuwakilisha nani bungeni?

Yule mbunge wa Nkasi status yake ikoje pale bungeni?

Kiukweli Chadema mnapaswa kutuomba radhi wapiga kura wa Tanzania hakuna namna.

Peoples...........Power!
Yaniii wewe sikuhizi hueleweki kabisaa. Bora hata enzi za mwendazake tulijua wewe ni Mataga. Anwaya hujaeleweka maana kwa sisi ambao sio mashabiki wa vyama tunawaelewa CHADEMA ni nini wanataka.

Hoja yao kubwa ninani aliyepeleka majina ya hao viti maalumu cause Viongozi wote wajuu hawatambui.

Tume imekaa kimya badala yake anaibuka sajiri wa vyama na hoja zaifu nasema zaifu kwakuwa ni ofisi take hiyohiyo iliyofumbia macho uharamia wa Lipumba.

Lakini twende mbele turudi nyuma kwa yaliyo fanyika kwenye uchaguzi wa 2020 kuna kiumbe anaweza akasimama na kusubutu kusema kulikuwa na uchaguzi kweli?

Tuwe wazalendo wa kweli na nnchi yetu tuache ushabiki wa kimazingira kwamba unashabikia tukio au mambo yaliyopo kwa watawala kipindi wapo hata kama nimabayaa.
 
Mimi nadhani hawahitaji kuniomba radhi. Kwenye ubunge nilitoa kura kwa mgombea wa chadema, lakini tukashindwa, tena kihalali.
Kwenye urais sikutaka kupoteza kura yangu kwa kuchagua Lissu, hiyo ingekuwa kuharibu kura kwa makusudi.
 
Haiwezekani sisi wananchi tupange foleni kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua Tundu Lisu na Halima Mdee kwa mfano hapa Kawe halafu leo kirahisi rahisi tu Chadema wanadai hawazitaki nafasi za ubunge wa viti maalumu wala ruzuku eti wanataka haki!!

Haki gani wanayoidai hawa Chadema?

Mbona hawaendi mahakamani?

Hivi vyama vya siasa ni mali ya wananchi siyo mali ya mtu binafsi.

Sasa kama Chadema wamekataa viti maalumu wale akina Halima Mdee wanamuwakilisha nani bungeni?

Yule mbunge wa Nkasi status yake ikoje pale bungeni?

Kiukweli Chadema mnapaswa kutuomba radhi wapiga kura wa Tanzania hakuna namna.

Peoples...........Power!
uchaguzi haukuwa huru na haki,sasa hivyo viti ndo viwe sahihi?
 
Yaniii wewe sikuhizi hueleweki kabisaa. Bora hata enzi za mwendazake tulijua wewe ni Mataga. Anwaya hujaeleweka maana kwa sisi ambao sio mashabiki wa vyama tunawaelewa CHADEMA ni nini wanataka.
Hoja yao kubwa ninani aliyepeleka majina ya hao viti maalumu cause Viongozi wote wajuu hawatambui.
Tume imekaa kimya badala yake anaibuka sajiri wa vyama na hoja zaifu nasema zaifu kwakuwa ni ofisi take hiyohiyo iliyofumbia macho uharamia wa Lipumba.
Lakini twende mbele turudi nyuma kwa yaliyo fanyika kwenye uchaguzi wa 2020 kuna kiumbe anaweza akasimama na kusubutu kusema kulikuwa na uchaguzi kweli?
Tuwe wazalendo wa kweli na nnchi yetu tuache ushabiki wa kimazingira kwamba unashabikia tukio au mambo yaliyopo kwa watawala kipindi wapo hata kama nimabayaa.
Hapa tunapaswa kuiponya Chadema maana wanapotea!
 
Sasa yule mbunge wa Nkasi alipatikanaje?
mkuu hivi kiwango chako cha kudanganyika ni kikubwa hivyo ,hebu mpe simu mtoto wako wa kike wa mwisho nimwelezee naamini mjomba atanielewa haraka ,hakukuwa na uchaguzi yule walimuachia hata wezi wa wallet huwa hawachukui vitambulisho.Na hata malaya wanaotusachi tukilewa wanatuachiaga nauli kwenye laki mbili anakuachia elfu kumi ,akimaanisha kanywe supu na maji makubwa na nauli ya uber kukurudisha kwenu ,sasa swali lako ni kusema kama ni mwizi mbona ameacha elfu kumi ,au mwizi gani anakuachia kitambulisho?
 
mkuu hivi kiwango chako cha kudanganyika ni kikubwa hivyo ,hebu mpe simu mtoto wako wa kike wa mwisho nimwelezee naamini mjomba atanielewa haraka ,hakukuwa na uchaguzi yule walimuachia hata wezi wa wallet huwa hawachukui vitambulisho.
Kwahiyo mlitaka wawaachieni wabunge wote?
 
umeona ulivyo haribiwa akili na CCM ,HATUACHIANI WABUNGE SIO HISANI TUNAPIGA KURA ANAESHINDA TUNAMTANGAZA NDIVYO KATIBA YETU INAVYOSEMA
Sasa kama hamuachiani kwanini unasema mbunge wa Nkasi aliachiwa?

Jenga hoja kwa mantiki bwashee!
 
Haiwezekani sisi wananchi tupange foleni kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua Tundu Lisu na Halima Mdee kwa mfano hapa Kawe halafu leo kirahisi rahisi tu Chadema wanadai hawazitaki nafasi za ubunge wa viti maalumu wala ruzuku eti wanataka haki!!

Haki gani wanayoidai hawa Chadema?

Mbona hawaendi mahakamani?

Hivi vyama vya siasa ni mali ya wananchi siyo mali ya mtu binafsi.

Sasa kama Chadema wamekataa viti maalumu wale akina Halima Mdee wanamuwakilisha nani bungeni?

Yule mbunge wa Nkasi status yake ikoje pale bungeni?

Kiukweli Chadema mnapaswa kutuomba radhi wapiga kura wa Tanzania hakuna namna.

Peoples...........Power!
Hivi si nyie kila siku huwa mnabwabwaja kuwa CHADEMA wanachukua ruzuku, mbona leo unajipinga tena?
 
Swali zuri Sana hili.

Ukizingatia mama kishasema ktk awamu yake anataka mahakama zitende haki.
Na Mdude Nyalali na wengine kibao bado wanasota. Acheni hizo.

Watu wanasubiri vitendo maana maneno wameyasikia siku zote. Hakuna kiongozi aliyewahi kuwataka Mahakama wasitende haki.

Amandla...
 
Ati "watuombe radhi sisi Wapiga kura wao"!

Hivi kweli wewe johnthebaptist uliwapigia kura cdm? Siku watz tukianza kuusema ukweli uliopo mioyoni mwetu basi ndipo MUNGU atatuhurumia na kutufungua kutoka kwemye hii minyororo ya ujinga na umasikini. Tukiendeleza unafiki kama ilivyo sasa, hakika hatutakaa tupige hatua yoyote.

cc: Mh. Msukuma (MB)
 
Na Mdude Nyalali na wengine kibao bado wanasota. Acheni hizo.

Watu wanasubiri vitendo maana maneno wameyasikia siku zote. Hakuna kiongozi aliyewahi kuwataka Mahakama wasitende haki.

Amandla...
Kama serikali iliweza kumtoa Nusrat Henje ni wazi hata Nyangali atatoka!
 
Back
Top Bottom