Kama bado unanua dada pouwa waliojipanga wewe umepitwa na wakati!

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
4,636
9,856
Habari zenu wadau


Hii maluum kwa wale wote waishio miji mikubwa na miji inayoaanza kukua.

Wengi wafuatiliaji wa mambo mnajua suala la wanawake kupanga foleni na kujiuza kwa miaka ya nyuma hizi habari zilikuwa zinatoka dar tu miji midogo midogo hii kitu haikuwepo na kama ilikuwepo basi kwa siri sana tofauti na leo ambapo karibu kila kona ya Tanzania hii biashara ipo.

Yani sehemu yoyote penye umeme unawaka na ukitembea unaona Kuna bar au grosari na nyumba za wageni jua wanawake wakujiuza wapo sema utajuaje.

Hii utajuaje ndio narudi kwenye lengo la uzi huu kuwa ikiwa wewe ni mtu ambaye unasubilia jua lizame uendi wachukua maeneo wanayojipanga jua umepitwa na wakati ikiwa wewe upo.

Mbeya unasubilia usiku uingie uendi Mbeya carnival beba jua umepitwa na wakati.

Ukiwa Mwanza unasubilia jua lizame uendi villa Park au deluxe jua umepitwa na wakati.

Ukiwa Dar unasubilia uendi mitaa ya kati jua umepitwa na wakati kwanini nasema hivi.

Wanawake wazuri wanaouza siku hizi hawapangi foleni tena wao wapo maofisini masokoni mtaani unapokaa au nyumba uliopanga.

Utawajuaje endelea kwenda mitaa ya kati u out dated ukiisha utawajua hata kwenye dala dala utajua uyu anauza.
 
Umetishaaa hapo ukweli mtupu, skuhizi wana brevis, mark X na vigari vidogo vidogo mtaani vikiitwa vishumizi, au vi vesti mfano, nissan march, IST, Vitz na vinginevyo.
 
Hivi unajua kila mtu ana starehe yake? Na kil@ mtu ana namna yake anayoinjoi starehe aipendayo na anajua aipateje. Nadhan wewe ndo upo outdated
 
Kama ni hivyo basi nakiri nimepitwa na wakati.

Kama wapo hapa JamiiForums wani-PM ili nisiwe nahangaika kuwafuata wanaposimama.
 
Hao hao unao wajua kwenye daladala ndio wanaojipanga barabarani usiku
 
Tatizo ukimkuta kwenye hako ka-vits ataanza kukuletea appointment na upuuzi kama huo. Sasa naanzaje kufanya appointment ya kupata mchele dukani!
 
Sasa hivi wapo instagram kila dakika wanatupia picha ukimtumia namba yako insta direct lazima akubip ukimpigia mnaelewana unakula mzigo kiulaibi kama unanawaaaaa kwa bei poa tu
Ukiwa mstaarabu usumbui katika malipo anaweza cku nyingine akakukopesha
 
Eeh Mungu baba tusamehe sisi wakosefu.... wauzaji wa bidhaaa na wanunuaji wa bidhaa....japo mawe wanarushiwa wauzaji.

Kila mmoja aseme ameeen.
 
Sijajua sababu haswa ila naona kuna nyuzi mingi mno sasa hivi zinahusiana na biashara hii ya Ngono...Nashauri wachana na kununua mwanamke malaya wana maroho ya nuksi, mikosi, balaa na hata magonjwa...Kuwa smart kama hujaoa subiri uoe na kama umeoa ridhika na mke wako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…