GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,044
- 119,618
JD Vance aliwahi kumwambia Trump kuwa ni Mpumbavu na Mwendawazimu asiyefaa kuwa Rais wa Marekani ila Wamarekani kwa kutuonyesha kuwa Siasa siyo Chuki na Uadui Wiki hii Mgombea wa Republican Donald Trump kamteua huyo huyo JD Vance kuwa Mgombea Mwenza ikimaanisha kuwa akiwa Rais Jamaa ( JD Vance ) ndiyo atakuwa Makamu wa Rais wa Marekani.
Hivyo basi ni Matarajio yangu makubwa pia kuwa hata Mimi yule ambaye tokea Machi 21, 2021 sikuona Umuhimu wake na nikaanza Kumkosoa na bado namkosoa kwa Kumuona hakuna anachofanya huko Duniani aliko sasa basi na Yeye pia mwakani ( 2025 ) ataniteua GENTAMYCINE kuwa Mgomboea Mwenza wake akiachana na Mkimbizi wa Beni nchini Congo DR aliyenae sasa.