Hashim bin Faustin
Senior Member
- Jan 30, 2017
- 177
- 216
hiyo hali kitaalamu inaitwa,-DOWANS SYNDROME.Ndio yaleyale ya Richmond, eti kampuni hewa lakini bado wana transfer mkataba.
Ukizingatia huna Chata mjini,Nyuzi hizi hukawii kuona Noah mtaani kwako
Kwa mujibu wa ripoti ya leo ni kwamba HAWANA wala hawajawahi kufikiria kuwa nayo..wako busy na pamba na korosho tu.Ina maana B.O.T hawana kumbukumbu za Usafirishaji wa Madini??????
Kwanini hakuwatumbua?
Magufuli ni kiumbe cha ajabu ajabu sanaYani rais wa nchi ameomba kukaa meza moja na kampuni hewa kujadili namna ya kulipana deni??
Aibu ya karne hii.
UflwwwMagufuli ni kiumbe cha ajabu ajabu sana