Kalaga baho Nongwa: fundi redio call

Kalaga Baho Nongwa

JF-Expert Member
Sep 27, 2020
8,540
19,394
Nusu waniue leo!

Asee njaa njaa jana nikaletewa mchongo kutengeneza radio call hazishiki frequency. Kalaga baho sindo nikajimwambafaiiii... Njaa hizi!

Asee nikapewa advance jana hiyohiyo nikapata hela ya kula. Leo nimeenda pale kuonana na baofeng mpyaaaa.. walinzi wamechanganya frequencies yani radio hazielewani!
20240917_124513.jpg

Asee toka saa 4 nimeingia huku nimetoka nimeenda huku.. kibegi cha cha spana nikakiona kizito. Toka saa 4 nahangaika kuijua lugha ya radio call ile. Nimekuja kuponea padogo sana baada ya jaribio la ku-restore radio moja kuwezekana.
20240917_121428.jpg
Mpaka muda huu nikiri kuuona utukufu wa mungu mana wale jamaa wangekomaa nirudishe hela yao na mm nishaibwenga. Mungu wetu sote

Kalaga baho
 
Attachments

  • 20240917_121028.jpg
    20240917_121028.jpg
    958.5 KB · Views: 4
Wewe ndiyo mtu na nusu sasa.Una uthubutu na umejifunza kitu.Hadi uende mbinguni(Mola akujaalie) utakua na mengi ya kusimulia.
Yani mkuu mpaka wenyew wakaanza kuniuliza vipi fundi utatoboa kweli? Nikajibu nkishindwa nitaondoka nazo ofisini wakati huo nishakula msosi wa 2500 pilau spinach la kibaha na sioni dalili ya kutoboa.

Asee njaa mbaya sana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kuna kiwanda cha rasta kinaitwa darling kipo mbagala itabidi ukakomae pale kaka. uspotengeneza radio zao watakupiga ngeta hao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

ila nmependa ujasiri wako
 
Mzee njaa sio kitu kizuri nimejitoa kimaso maso mana nje ya hapo jana ilikuwa inapepea... nitoe rai kwa vijana kila kitu kujiongeza tu
 
Nusu waniue leo!

Asee njaa njaa jana nikaletewa mchongo kutengeneza radio call hazishiki frequency. Kalaga baho sindo nikajimwambafaiiii... Njaa hizi!

Asee nikapewa advance jana hiyohiyo nikapata hela ya kula. Leo nimeenda pale kuonana na baofeng mpyaaaa.. walinzi wamechanganya frequencies yani radio hazielewani!

Asee toka saa 4 nimeingia huku nimetoka nimeenda huku.. kibegi cha cha spana nikakiona kizito. Toka saa 4 nahangaika kuijua lugha ya radio call ile. Nimekuja kuponea padogo sana baada ya jaribio la ku-restore radio moja kuwezekana.
Mpaka muda huu nikiri kuuona utukufu wa mungu mana wale jamaa wangekomaa nirudishe hela yao na mm nishaibwenga. Mungu wetu sote

Kalaga baho
Mkuu hizo HYTERA.......
 
Habari ya Energy oil Co Ltd
 
Back
Top Bottom