KAKA angu pita kwenye maduka ya nguo za ndani angalia rangi uzipendazo si unajua size yake kama hujui muulize wala usimwambie kuwa unamnunulia chupi

Magical power

JF-Expert Member
Sep 27, 2022
1,686
4,650
KAKA angu pita kwenye maduka ya nguo za ndani angalia rangi uzipendazo si unajua size yake kama hujui muulize wala usimwambie kuwa unamnunulia chupi au blazia, wewe nunua rangi uzipendazo kumuona amevaa📌
1733072841480.jpg

Unaweza kuchukua 20k ukanunua nusu dozen ya chupi kiwango ukampeleke kipenzi chako au unaweza kununua dozen moja tu zile nzuri zinaanzia 38k dozen kuendelea, mnunulie basi

DADA ANGU mwema mnunulie na wewe huyo kijana wa watu basi, vizawadi vinafaa hasa ukipewa na yule mtu umpendaye na ukapewa kwa upendo mkubwa, mpe zawadi unayoimudu pia uwe unajinunulia nguo za ndani nzuri basi

KAKA najua wapo wanaume hawapendi boksa kwasababu haziwapi uhuru wanapenda bukta basi nunua bokta nzuri inayokufaa sio zile za.. hata kama unapenda boksa nunua nzuri basi kwani wewe hupendi kuvaa nzuri kwenye mwili wako huo. Unamvalisha Sele wako matutua 😀

Kaka Magical power
..........................
 
Jàman Kuna wadau Wana majibu cheki jibu alilo nipa apo chini👇🏾👇🏾👇🏾🤣🤣🤣

Nilimnunulia akasema huwa anafurahi kila akikumbuka ajabu niliachwa kwa sababu isiyo kichwa wala miguu 🤔
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom