Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,646
KAGERA: Mahakama ya Wilaya Karagwe imewahukumu waliokuwa waajiriwa wa Chama cha Ushirika Caisalius Mathias Rugemalira (Kaimu Meneja), Renatus Gerald, (Kaimu Mhasibu) na Revelian M. Makune, (Mwenyekiti wa Bodi) kwenda jela Miaka 2 au kulipa faini ya Tsh. 1,800,00 kwa Ubadhirifu wa Fedha za Chama hicho.
Pamoja na makosa mengine ya ubadhirifu, viongozi hao walishtakiwa kwa kosa la wizi wa fedha za Chama cha Ushirika Karagwe (KDCU) kiasi cha Tsh. 40,000,000 .
Aidha, pamoja na hukumu hiyo washtakiwa wameamriwa kurejesha kiasi chote cha fedha kilichoibiwa (Tsh. 40,000,000/=).