mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,771
- 7,141
Wana Jf,
Kama utabiri ukitokea uenda Kagera ikapoteza fedha nyingi kwa kile tunachokiita upuuzi wa mwombolezaji mmoja toka Chato. Chato imebebwa na Kagera miaka mingi tangia falme mpaka kuwa wilaya kamili. Sasa hawa jamaa wanaleta unazi kuwa kila kiongozi mkuu apewe anachohitaji, kwa njia hii tutakuwa na mikoa mia moja yaani.
Ona sasa Kagera inaenda kupoteza million 53.4. Alafu mje meme wahaya hawapendi kujenga kwao kumbe wanahujumiwa lila waliotaka kumbuka.
Nakuomba mama cabana na yule mzee labda dish lilicheza yakamtoka. Tuiachie lagers yao imeumizwa mno na majanga mengi . Tetemeko, ukimwi, MV. BUKOBA, MNYAUKO elinino haya yote yamepita, bado hii adhabu ya kumegwa , wanakagera wamekataa, msilete chuki hata kama Tanzania ni moja