Kagera: Bweni la wavulana la Shule ya Msingi na Sekondari Istiqaam limeteketea kwa moto

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,330
4,692
Bweni la wavula katika shule ya msingi na sekondari Istiqaama inayomilikiwa na taasisi ya dini ya Kiislamu iliyoko kata Nshambya katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, limeteketea kwa moto jana jioni na kusababisha mali zote za wanafunzi zilizokuwa katika bweni hilo kuteketea.

Akizungumza katika eneo la tukio kamanda wa jeshi la zimamoto na uokoaji katika mkoa wa Kagera Zabron Muhumha amesema kuwa bweni hilo lenye vyumba nane lina uwezo wa kulaza wanafunzi 70 na kwamba hakuna madhara kwa binadamu.

 
Kagera uzembe umezidi.
 
Ukute ni chuki/ujinga/wivu unawatia watu hasara... watu sijui wamekuaje

Juzi juzi tu kuna jinga limeua huku ili amiliki biashara aliyokua akifanya na marehemu mwenyewe, jamaa alikua mtu wa watu, Linarudi kutoka msibani, kakuta Duka limepigwa moto lote mpaka store na la kwakwe halafu watu wako na zao hajaokoa hata msumali.

Kuna mda unafikiria, potelea kote bora kusiwe na msamaha huko tuendako ili kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
 
The act of sabotage????
 
What ? Hebu fafanua kidogo mkuu story ipo very interesting
 
Wameanza tena. Hapo ni bandika bandua. Sijui chanzo ni nini hasa!
 
Na aliyeunguza hilo jengo utakuta kila siku anag'aka Yesu siyo Mungu na ana sigdah na kuswali mara tano kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…