Malunde-Malundi
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 1,288
- 131
Kafulila F1-4 Uvinza Secondary School-Div 3 (pt sikumbuki) this was 1998-2001
F5-6 Shinyanga Secondary School-Div 2 pt 11 2002-2004
Mara ya mwisho alikuwa anasoma BBA UDSM (this is an eveving class program), mwaka wa kwanza mwaka 2006/7 na kasomeshwa na Chadema anaowaita mabepari. Sina uhakika kama alimaliza mwaka wa tatu na kama alimaliza atakuwa hakufanya vizuri kwa sababu most of times alikuwa anafanya kazi za chama.
So hizi habari za kuwa alisoma na Zitto sio za kweli, au ni marafiki tu
Hey! guys!! Je mpaka hapo hamuuoni umuhimu na ubora wa Kafulila? Ina maana aliwazidi mbali wengi ndani ya CDM lakini ni wachache sana wanaoukubali ukweli.Hajawahi kusoma na Zitto, wakati yuko Form 2 (au F3 hapa) alikuwa Naibu Katibu mwenezi NCCR Mageuzi wa either wilaya au kata (hapa uhakika sio mkubwa).
Baada ya kumaliza form 6 alijiunga na Chadema na alikuwa kwenye kampeni za Zitto (Zitto saw that the guy is potential and he was using him for his things)
Kafulila alipata nafasi ya kusoma chuo cha Tumaini University-Iringa, Chadema wakamwomba aache ili asome masomo ya jioni huku akiwa anafanya kazi za chama.
NOTE: Zitto na Kafulila wanatoka majimbo tofauti.
Wanasiasa wote duniani wako hivyo, you can imagine sera za wanafunzi wote shule ya msingi watakuwa na computer ili waweze kufundishwa kwa online katika nchi kama yetu hii si upumbavu?
Mi naona kuwe na Technologia mtu akikuudhi na yuko kwenye TV unamshuti apo apo kwenye screen na anakufa huko aliko.
Huo ndio UKWELI AMBAO WATANZANIA HAWAPASWI KUUFAHAMU! NA HUO NDIO UKWELI AMBAO SIKU ZOTE WANAOUSEMA HUPEWA MAJINA YA AINA TOFAUTI.Mimi nadhani kuwalaumu wanasiasa haswa hawa wa kizazi cha baada ya mfumo wa chama kimoja kuhusiana na suala la itikadi mtakuwa mnawaonea. Tatizo la mkanganyiko wa kitikadi katika vyama vyetu ni kubwa sana na lenye athari kubwa katika utamaduni wa kisiasa hapa nchini. Na hli linatokana na kuwa watanzania wengi hawana ama hawaamini katika umuhimu wa siasa za kiitikadi.
Nijuavyo CHADEMA kama chama na kwa mujibu wa katiba yao kinafuata itikadi za kibepari kama ilivyo kwa upande wa CCM kinapaswa kufuata itikadi za kijamaa. LAkini ama kwa kukosa umakini ama uthubutu wa kisiasa wanasiasa wengi wamekuwa wakikimbilia kupigia debe sera zinazokingana na itikadi rasmi za vyama vyao na kwa kuwa watanzania walio wengi tumekosa nidhamu ya kufuatilia na kupima mambo kwa mapana yake basi huwa tunaishia kuwashabikia wanasiasa wa aina hiyo. Tumefikia hata kutokuwa na uthubutu wa kutohoji mwenendo wa kisera na kiutekelezaji wa nchi yetu ambayo kikatiba inatamkwa kuwa ni nchi inayofuata siasa za ujamaa na kujitegemea wakati mengi yanayoamuliwa na kutekelezwa yanakinzana na itikadi hiyo.
Naamini moja ya suala linaloibua umuhimu wa kuwa na katiba mpya ambayo itapatikana kupitia mchakato wa kuhusisha watanzania wote ni umuhimu wa watanzania kukubaliana kama tunapaswa kufuata itikadi gani na kama kuna ulazima wa suala la itikadi likawa suala la kikatiba ama likabaki kuwa suala la kisera.
Tukija kwa ndugu zangu kina Kafulila, Zitto na Mnyika. Nijuavyo hawa wote wanavutiwa na itikadi ya Ujamaa kuliko Ubepari. Na kwa muda mrefu wamekuwa wakijaribu kukivuta CHADEMA kuelekea upande huo kiitikadi lakini bado hawajaweza kufanikiwa kwani chama bado kiko mikononi mwa waumini wa sera za kijamaa.
Kiasili Chadema ni chama cha maslahi ya mabwanyenye ambao wakati wa Mwalimu waliminywa na kushindwa kujitanua kisiasa. Lakini hadi sasa kikatiba Chadema ni chama kinachofuata itikadi ya Ubepari ingawa mara nyingi wamekuwa wakipigia chepuo sera zenye mrengo wa kijamaa. Suala ni kama wanaamini katika sera hizo ama ni kwa kuwa sera hizo zinalipa kisiasa?
Suluhu: Sina jibu hadi sasa ni jinsia gani tutajinasua katika tatizo hili.....

Whats wrong with that statement? kuwa watu wanachagua mtu na si sera that is reality!! sidhani kama kwa Tanzania statement ya Kafulila ni ya kwanza au ni mpya!!! may be kwa sababu aliyesema ni Kafulila!
Guys mnajua unapo-mcriticise mtu ni vizuri kuwa mkweli ili aibu ya kuonekana mjingana mshabiki angalau ijifiche!!!
In those good old days people liked Nyerere as Nyerere not because he was CCM! this is incontrovertible truth!Sera za CCM mpaka kesho hazihuziki!! People vote for Slaa because they know him he is against corruption but not because he is in Chadema!!!!
Leo Magufuli akisimama for president , is not suprising that those 2 million who voted for Slaa majority may vote for Magufuli! we have seen even in JF!!! kuwa kuna wanachadema vipofu ambao wawaliwashabikia Sita na Mwakyembe regardless of their political party they belong!!
Bottom line is that people have never experienced another taste of policy apart of CCM's which I dont know if they do exist in real life!! kutokana na hilo swal la sera si kipaumbele cha watu
Sijaona kosa la Kafulila liko wapi!!! kuwa alikuwa chadema ndani ya hizo sera haina maana hawezi kuwa na itikadi zingine!
Guys hizi issue hamuoni kama zinachimba shimo? tupo
Whats wrong with that statement?
Waberoya!! Niseme nini tena hapo? Bluu: Kosa la Kafulila ni kuusema ukweli usiotakiwa kusikika haswa akiwa upande wasioshabikia basi. Laiti kama kafulila angelikuwa anayasema hayo akiwa CDM ah! makofi shangwe na vigelegele angepigiwa.Whats wrong with that statement? kuwa watu wanachagua mtu na si sera that is reality!! sidhani kama kwa Tanzania statement ya Kafulila ni ya kwanza au ni mpya!!! may be kwa sababu aliyesema ni Kafulila!
Guys mnajua unapo-mcriticise mtu ni vizuri kuwa mkweli ili aibu ya kuoneka na mjingana mshabiki angalau ijifiche!!!
In those good old days people liked Nyerere as Nyerere not because he was CCM! this is incontrovertible truth!Sera za CCM mpaka kesho hazihuziki!! People vote for Slaa because they know him he is against corruption but not because he is in Chadema!!!!
Leo Magufuli akisimama for president , is not suprising that those 2 million who voted for Slaa majority may vote for Magufuli! we have seen even in JF!!! kuwa kuna wanachadema vipofu ambao wawaliwashabikia Sita na Mwakyembe regardless of their political party they belong!!
Bottom line is that people have never experienced another taste of policy apart of CCM's which I dont know if they do exist in real life!! kutokana na hilo swal la sera si kipaumbele cha watu
Sijaona kosa la Kafulila liko wapi!!! kuwa alikuwa chadema ndani ya hizo sera haina maana hawezi kuwa na itikadi zingine!
Guys hizi issue hamuoni kama zinachimba shimo? tupo
huo ndio ukweli wenyewe. Ulitaka andazi aliite chungwa???kosa ni wording alizotumia kwamba ingekuwa sera basi chadema isingeshinda, there come the question which he did not answear, so who would have won? What about him did people choose him or sera za nccr? . Also lets not insult people as i know watu walivutiwa na chadema through offering things like kupigana na ufisadi, elimu na afya bure as well as track record ya wabunge wao kufatilia issues, not forgeting people are tired with ccm. Please lets not confuse the issue here with some technicalities
Waberoya!! Niseme nini tena hapo? Bluu: Kosa la Kafulila ni kuusema ukweli usiotakiwa kusikika haswa akiwa upande wasioshabikia basi. Laiti kama kafulila angelikuwa anayasema hayo akiwa CDM ah! makofi shangwe na vigelegele angepigiwa.
LINDI LA USINGIZI bado limetutanda. UPOFU WA KINAZI UMETUZINGIRA. Sijui kwanini??? nashindwa kuelewa sababu hivi kwanini HATUJIFUNZI KUSIKILIZA NA KUPIMA MAMBO KWA KINA??? Hivi aliyeturoga alikufa na uchawi wake??? Jamani hata kama kusoma HATUJUI HATUWEZI HATA KUTAZAMA PICHA?
huo ndio ukweli wenyewe. Ulitaka andazi aliite chungwa???
kWA TAARIFA YAKO, HALMASHAURI ZITAKAZOONGOZWA NA CDM SASA ZINAJIPANGIA ZITAENDESHWAJE NA SI KUFUATA SERA ZA CHADEMA!!!
Mh!hii yote ni wivu kwa chadema!alifikiri akihama chadema,basi chadema ingekufa!lakini hali haikuwa hivyo.Chadema ilikuwepo,ipo na itaendelea kuwepo.
kWA TAARIFA YAKO, HALMASHAURI ZITAKAZOONGOZWA NA CDM SASA ZINAJIPANGIA ZITAENDESHWAJE NA SI KUFUATA SERA ZA CHADEMA!!!
Is being against corruption Slaa's personality?
Dah!
Mwanangu na wewe umetoa kali ya wiki.
Endelea kuchapa 'maji ya mamba'