Kafulila: Tanzanian government is seeking partnerships with the private sector to operate some of its 32 ferries over 30 garages across the country

Wakifanya vya kwao huo ni uwekezaji sio Ubia
Ndio hapo nasema ni kweli tunahitaji UBIA kwenye issue kama hii..., kama tunaona hatuwezi kufanya vema au kitu sio huduma 100 percent basi serikali iachane na hicho kitu na kiwe free market na kuleta ushindani, kila mtu aingie kivyake na kufanya... Au serikali ibaki na vichache (alternative) na vingi waachiwe kila mwenye nguvu ashindane...

Kwahio Serikali inaweza kuwa na ferry moja na kuwaita wote wanaoweza na wenyewe walete za kwao na kushindana...
 
Uko sahihi kabisa kwenye hili
 
Uko sahihi kabisa kwenye hili
Tatizo mkuu hizi PPPs zina loophole ya upigaji na kwa nchi kama yetu hii ya wapigaji tutapigwa mpaka tukome..., hivyo tubaki na vitu vichache mfano Nishati; Maji; Usafiri na tuwe na Baadhi ya Bank za Umma zikishindana vingine vyote tuache watu washindane huko kitaa... Vitu kama Bandari vibakie UMMA na Madini angalau tuwe na 51 percent.... vilevile NHS sio mbaya ibakie UMMA na Tuwe na Maghala ya UMMA ya kuhifadhi chakula ili kubalance bei kama zitapanda sana...
Hapo tutakuwa tumehakikisha kwamba basic needs watu wanapata....

 
Nimekuelewa sana mkuu kwenye hili,
 
Tanzania ni Salama sana
 
Hongera sana Rais Samia kazi iendelee
 
Mimi nahitaji kupata walau Garauge moja kwaajili ya kuboresha Maisha ya Watanzania wenzangu
 
-Kafulipa tafuta pia ubia kwenye ujenzi wa barabara za kulipia ,nilisikia ulisema unaanza na Kibaha-Chalinze ,pia usiasahau barabara za kwenye majiji ambazo bado vumbi ziingizwe pia kwenye PPP.
 
Hii ppp anayoitangaza mr. Kafulila ni nzuri sana ila anatakiwa kupiga kelele hizi zaidi kwa mataifa ya nje makubwa ili waje huku kuwekeza anaongea sana na vizuri ila tija inaweza kuwa ndogo maana anaongelea kwenye vyombo vya habari vya ndani tu.
 
Hii ppp anayoitangaza mr. Kafulila ni nzuri sana ila anatakiwa kupiga kelele hizi zaidi kwa mataifa ya nje makubwa ili waje huku kuwekeza anaongea sana na vizuri ila tija inaweza kuwa ndogo maana anaongelea kwenye vyombo vya habari vya ndani tu.
Naunga mkono hoja yako mkuu
 
Wewe ndio Kafulila?
 
I join hand,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…