sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,230
Sote ni mashuhuda wa jinsi teknolojia ya computer inavyozidi kuboreshwa kwenye simu za kiasasa smartphones, vitu kibao ambavyo zamani vilitulazimu kuvifanya kwenye desktop au laptop siku hizi tunavifanya kwenye smart phones hasa ukizingatia.
Software kibao sikuhizi hata kwenye simu zipo na pia hardware kama camera, mic, gps navigation, n.k. zinazidi kuboreshwa.
Binafsi kwangu najua kabisa vitu vingi vinawezekana kwenye simu ila ni mtu ambae nimezoea kutumia pc kwa muda mrefu hivyo nimestick na pc labda kama nipo sehem sina pc.
hali ipoje kwako ??