Kadi za simu zilisosajiliwa zimeongezeka kutoka Kutoka milioni 52.8 machi 2021 Kufikia Milioni 86.8 mwezi Disemba 2024

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
1,204
770
Kadi za simu zilisosajiliwa zimeongezeka kutoka Kutoka milioni 52.8 machi 2021 Kufikia Milioni 86.8 mwezi Disemba 2024.

Hili ni ongezeko la asilimia 64.39 linaloashiria ukuaji wa Teknolojia ya Kidijitali kupanuka kwa huduma za mtandaoni kama vile pesa za simu (mobile money), intaneti, na huduma za kibenki kupitia simu.

Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.

#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama
 

Attachments

  • IMG-20250222-WA0006.jpg
    IMG-20250222-WA0006.jpg
    181.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom