Joblee JF-Expert Member Sep 27, 2015 1,470 1,590 Mar 20, 2017 #1 Wakuu tangu ile October nilipochovya kidole changu cha mwisho baada ya kutumia kadi yangu ya kupiga kura.. Leo baada ya speech ya uzinduzi wa ujenzi wa Fly over [Ubungo] nimejikuta naitafuta na kuanza kuifuta vumbi....
Wakuu tangu ile October nilipochovya kidole changu cha mwisho baada ya kutumia kadi yangu ya kupiga kura.. Leo baada ya speech ya uzinduzi wa ujenzi wa Fly over [Ubungo] nimejikuta naitafuta na kuanza kuifuta vumbi....