Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,096
- 5,592
Wakuu,
Kupitia ukurasa wake wa X, kada wa CHADEMA, Hilda Newton amesema kuwa Jeshi La Polisi wamezuia mkutano wa CHADEMA uliopangwa kufanyika kwenye soko la Kariakoo.
Kwa mujibu wa Hilda, sababu iliyotajwa ni kwamba kuna maelekezo kutoka juu ya kuzuia mkutano na ameongeza kuwa msimamo wa chama ni kwamba mkutano huo utafnyika.