Kada wa CCM:Makonda anaumwa tezi dume

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Kila mtu haelewani nae, kila mtu anamsema vibaya, kila mtu mchafu huku yeye akijinasibu kama msafi kwa mkubwa.

Kijana Makonda, sisi tumeingia kwenye siasa kabla hujazaliwa, tunajua mengi ndani ya chama na serikali.Inajitengenezea bomu litakalokulipukia mbeleni. Kila mtu kwako mchafu.Kwann?Kwann kila kitu wewe tu?

Kumbuka huna mtoto na umri unakwenda sana. Unajijengea negativity mtaani kila aishipo binadamu. Misifa hiyo utaishije na wenzio mtaani?Hawa wazee wamekula chumvi nyingi, vijana ni Taifa ya kesho.

Bendera ikipepea sana, huchanika.

Nape na wewe bora nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…