KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 30,994
- 72,199
Mtu mnakaa miaka mpaka sita mara miezi saba!!.. kwanini..?
hamuoni kama mnapoteza muda,mnachunguzana nini kwani kuna mtu ametokea sayari tofauti na hii..? au umeambiwa unaoana na alien..?
Mnachunguzana tabia kwani kuna tabia gani usiyoijua hapa duniani..? kwani kuna tabia inayotoka nje ya hii dunia..? ama unaetaka kuoana nae amezaliwa na peremende..?
Wiki mbili zinatosha uchumba baada ya hapo ndoa tusichoshane vizazi.