johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,896
- 166,101
Too bad wanaojitokeaza wana mshambulia mtoa hoja si kushambulia hojaNimeona watu wengi wameanza kujitokeza kumjibu Jaji Warioba, ni jambo jema kwa Sababu ni haki yao ya Kikatiba
Sasa kabla ya kukurupuka Soma kwanza 2 Mambo ya Nyakati 1:7-12 itakusaidia sana kwa Sababu Jaji Warioba anauishi huo mstari 7-12
Jumaa Mubarak ๐๐
Ubaya mpaka wanaanza kumtuhumu kuwa fisadi kwamba alijimilikisha hisa celtel mwaka 2008!!!Too bad wanaojitokeaza wana mshambulia mtoa hoja si kushambulia hoja
Means dawa imewafikia, wanafanya damage control
Jo usipokunywa pombe unakuwa na hekima.Nimeona watu wengi wameanza kujitokeza kumjibu Jaji Warioba, ni jambo jema kwa Sababu ni haki yao ya Kikatiba
Sasa kabla ya kukurupuka Soma kwanza 2 Mambo ya Nyakati 1:7-12 itakusaidia sana kwa Sababu Jaji Warioba anauishi huo mstari 7-12
Jumaa Mubarak ๐๐
Watawala wanachojua ni ufisadi na wizi wa kura ili waendelee kutawala.Ni kweli, Mungu kamjalia mzee Warioba HEKIMA ya kipekee!
Lakini watawala wa Tz wanalitambua hilo?
Navalonge swela ๐Jo usipokunywa pombe unakuwa na hekima.
Utawala wa Nyerere ulikuwa wa " Zidumu Fikra za Mwenyekiti wa CCM"Ulizia wanasiasa waliotofautiana na Mzee Nyerere, na kisha Warioba akatunga sheria za kuwatesa enzi akiwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Warioba alikuwa complicityUtawala wa Nyerere ulikuwa wa " Zidumu Fikra za Mwenyekiti wa CCM"
Sidhani kama unaelewa
Lakini ni Warioba aliyemkataza Sokoine kukamata Watu kiholela kwenye Operesheni Wahujumu Uchumi
Ahsante sana ๐
Hata sasa Bado Yuko na ukabila hivyo hivyo...Mzee anatafuta ugali Kwa nguvuUlizia wanasiasa waliotofautiana na Mzee Nyerere, na kisha Warioba akatunga sheria za kuwatesa enzi akiwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Semeni yote mnayojisikia kusema lakini hamtafanikiwa kumchafua Jaji Warioba hata kidogo!Hata sasa Bado Yuko na ukabila hivyo hivyo...Mzee anatafuta ugali Kwa nguvu
Bado MAJIZI hayataelewa hapa.Ubaya mpaka wanaanza kumtuhumu kuwa fisadi kwamba alijimilikisha hisa celtel mwaka 2008!!!
2 Mambo ya Nyakati 1:7-12
".....Usiku huo, Mungu alimtokea Solomoni, akamwambia, โOmba chochote, nami nitakupa.โ Solomoni akamwambia Mungu, โUlimwonesha baba yangu Daudi fadhili nyingi, na umenijalia kuwa mfalme mahali pake. Sasa, ee Mungu, Mwenyezi-Mungu, itimize ahadi uliyompa baba yangu Daudi. Umenitawaza niwe mfalme juu ya watu hawa walio wengi kama mavumbi. Kwa hiyo, nakuomba unipe hekima na maarifa ili niweze kuwatawala watu wako vizuri. La sivyo, nitawezaje kuwatawala hawa watu wako walio wengi hivi?โ Mungu akamjibu Solomoni, โKwa kuwa jambo hili uliloomba limo moyoni mwako, na wala hukuomba mali, wala utajiri, wala heshima wala hukuomba wanaokuchukia waangamizwe, wala maisha marefu, lakini umeomba hekima na maarifa ili uwatawale vizuri watu wangu ambao nimekupa uwe mfalme wao, ninakupa hekima na maarifa. Pia, nitakupa utajiri, mali na heshima zaidi ya mfalme mwingine yeyote aliyekuwako kabla yako na mfalme mwingine yeyote atakayetawala baada yako.โ
KabisaHata sasa Bado Yuko na ukabila hivyo hivyo...Mzee anatafuta ugali Kwa nguvu