Kabla hujamjibu Jaji Warioba Soma 2 Mambo ya Nyakati 1:7-12 Ili Ujue unamjibu Mtu wa namna gani!

Nimeona watu wengi wameanza kujitokeza kumjibu Jaji Warioba, ni jambo jema kwa Sababu ni haki yao ya Kikatiba

Sasa kabla ya kukurupuka Soma kwanza 2 Mambo ya Nyakati 1:7-12 itakusaidia sana kwa Sababu Jaji Warioba anauishi huo mstari 7-12

Jumaa Mubarak 😂😂
Too bad wanaojitokeaza wana mshambulia mtoa hoja si kushambulia hoja
Means dawa imewafikia, wanafanya damage control
 
Ubaya mpaka wanaanza kumtuhumu kuwa fisadi kwamba alijimilikisha hisa celtel mwaka 2008!!!

2 Mambo ya Nyakati 1:7-12​

".....Usiku huo, Mungu alimtokea Solomoni, akamwambia, “Omba chochote, nami nitakupa.” Solomoni akamwambia Mungu, “Ulimwonesha baba yangu Daudi fadhili nyingi, na umenijalia kuwa mfalme mahali pake. Sasa, ee Mungu, Mwenyezi-Mungu, itimize ahadi uliyompa baba yangu Daudi. Umenitawaza niwe mfalme juu ya watu hawa walio wengi kama mavumbi. Kwa hiyo, nakuomba unipe hekima na maarifa ili niweze kuwatawala watu wako vizuri. La sivyo, nitawezaje kuwatawala hawa watu wako walio wengi hivi?” Mungu akamjibu Solomoni, “Kwa kuwa jambo hili uliloomba limo moyoni mwako, na wala hukuomba mali, wala utajiri, wala heshima wala hukuomba wanaokuchukia waangamizwe, wala maisha marefu, lakini umeomba hekima na maarifa ili uwatawale vizuri watu wangu ambao nimekupa uwe mfalme wao, ninakupa hekima na maarifa. Pia, nitakupa utajiri, mali na heshima zaidi ya mfalme mwingine yeyote aliyekuwako kabla yako na mfalme mwingine yeyote atakayetawala baada yako.
 
Jo usipokunywa pombe unakuwa na hekima.
 
Ulizia wanasiasa waliotofautiana na Mzee Nyerere, na kisha Warioba akatunga sheria za kuwatesa enzi akiwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Ulizia wanasiasa waliotofautiana na Mzee Nyerere, na kisha Warioba akatunga sheria za kuwatesa enzi akiwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Utawala wa Nyerere ulikuwa wa " Zidumu Fikra za Mwenyekiti wa CCM"

Sidhani kama unaelewa

Lakini ni Warioba aliyemkataza Sokoine kukamata Watu kiholela kwenye Operesheni Wahujumu Uchumi

Ahsante sana 😂
 
Warioba alikuwa complicity
 
Ulizia wanasiasa waliotofautiana na Mzee Nyerere, na kisha Warioba akatunga sheria za kuwatesa enzi akiwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Hata sasa Bado Yuko na ukabila hivyo hivyo...Mzee anatafuta ugali Kwa nguvu
 
Ubaya mpaka wanaanza kumtuhumu kuwa fisadi kwamba alijimilikisha hisa celtel mwaka 2008!!!

2 Mambo ya Nyakati 1:7-12​

".....Usiku huo, Mungu alimtokea Solomoni, akamwambia, “Omba chochote, nami nitakupa.” Solomoni akamwambia Mungu, “Ulimwonesha baba yangu Daudi fadhili nyingi, na umenijalia kuwa mfalme mahali pake. Sasa, ee Mungu, Mwenyezi-Mungu, itimize ahadi uliyompa baba yangu Daudi. Umenitawaza niwe mfalme juu ya watu hawa walio wengi kama mavumbi. Kwa hiyo, nakuomba unipe hekima na maarifa ili niweze kuwatawala watu wako vizuri. La sivyo, nitawezaje kuwatawala hawa watu wako walio wengi hivi?” Mungu akamjibu Solomoni, “Kwa kuwa jambo hili uliloomba limo moyoni mwako, na wala hukuomba mali, wala utajiri, wala heshima wala hukuomba wanaokuchukia waangamizwe, wala maisha marefu, lakini umeomba hekima na maarifa ili uwatawale vizuri watu wangu ambao nimekupa uwe mfalme wao, ninakupa hekima na maarifa. Pia, nitakupa utajiri, mali na heshima zaidi ya mfalme mwingine yeyote aliyekuwako kabla yako na mfalme mwingine yeyote atakayetawala baada yako.
Bado MAJIZI hayataelewa hapa.
 
Mungu ampe maisha marefu yenye baraka za Mungu mzee wetu Joseph Sinde Warioba. AMEN.

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Back
Top Bottom