Hyrax
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 860
- 2,305
Kuzima simu kabla ya tukio la kufanya mapenzi kutakusaidia kukuepusha na mambo mengi sana yaliyo nje ya uwezo wako nakumbuka tukio lililowahi kunikuta 2020 pisi imeingia hoteli niliyolipia laki mbili na nusu kwa usiku huo mbaya zaidi chakula changu kala tena cha bei tumeingia room ili tuanze zoezi la kupandiana ghafla hiyo pisi ya haja anapigiwa simu na mama yake mdogo kuwa anamuhitaji haraka kuna tatizo nyumbani kwao alimsisitiza hata kama yuko wapi apande boda arudi hakuna kilichoendelea zaidi ya hasàra ya siku hiyo. Zimeni simu