Kabila gani kuoa mapaka utoroshe mchumba?

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,663
7,778
Kuna kabila nchi hii ni utamaduni wao kuoa kwao mpaka utoroshe mchumba! Sielewi ni kwa nn....naomba wadau mnithibitishie lipo kweli...
 
Umejipanga umtoroshe??? Hebu fata taratibu halali mkuu
 
Kutoroshana mbona ni kitu cha kawaida sana kwa makabila yote hapa nchini?
Makabila yote yalipotoka kwenye jadi ya kutafutiwa mke na kufundishwa kugegeda kulianza mfumo wa kutorosha madem yaani ile wazazi wanaamka tu wanakuta mwinga yumo ndani kwa msela (Mr Sangoyi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…