johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 90,762
- 157,659
na tukisema wafuasi wa CCM ni nyumbu na wako extremely selfish huwa mnakataa, sasa huyu yuko tayari wengine waumizwe as far as watoto wake watakwenda shule. "Pumbufu" kabisaHii ni Kauli ya mtanganyika ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameiita Kauli hii ni ya Kipumbavu
Namuunga mkono Lema 100%
Nawatakia Sabato Njema π
Tell him to stay away from Magufuli legacy. Magufuli amefanya mambo makubwa ambayo yanaweza kuishi kwa zaidi ya miaka 300 mingine ijayo.Hii ni Kauli ya mtanganyika ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameiita Kauli hii ni ya Kipumbavu
Namuunga mkono Lema 100%
Nawatakia Sabato Njema π
Ova ππNkamia ni Mrangi kumbe π
Huyu jamaa aliwahi kusema Magufuli aongezewe Muda wa UraisHizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga , ni kama uwe mahabusu halafu mkeo aseme nilitembea na OCD ili upate dhamana kwenye shitaka lako la kuendesha gari ukiwa umelewa!!
Maisha yetu yanapaswa kufundisha watoto wetu TABIA thabiti na utu wema na misimamo ktk mambo mema na kuwa tiyari kulipa gharama muhimu.R.I.P Nelson Mandela
View attachment 2987570
Godbless Lema
Mtandao wa X
====
Hii ni Kauli ya mtanganyika ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameiita Kauli hii ni ya Kipumbavu
Namuunga mkono Lema 100%
Nawatakia Sabato Njema
Nkamia ni dhaifu anajulikana hivyo angeambiwa atoe ile hela ya zamani ya mjerumani yenye tundu ili watoto wende shule asingekataa tuwakatae watu wa hivyo kwenye uongozi jamaa dhaifu sana!Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga , ni kama uwe mahabusu halafu mkeo aseme nilitembea na OCD ili upate dhamana kwenye shitaka lako la kuendesha gari ukiwa umelewa!!
Maisha yetu yanapaswa kufundisha watoto wetu TABIA thabiti na utu wema na misimamo ktk mambo mema na kuwa tiyari kulipa gharama muhimu.R.I.P Nelson Mandela
View attachment 2987570
Godbless Lema
Mtandao wa X
====
Hii ni Kauli ya mtanganyika ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameiita Kauli hii ni ya Kipumbavu
Namuunga mkono Lema 100%
Nawatakia Sabato Njema π
Jo ungewapiga nyundo namna hii chawa wa hapo Lumumba,taifa letu lingekuwa linafanana na mji wa St.pertersburgHizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga , ni kama uwe mahabusu halafu mkeo aseme nilitembea na OCD ili upate dhamana kwenye shitaka lako la kuendesha gari ukiwa umelewa!!
Maisha yetu yanapaswa kufundisha watoto wetu TABIA thabiti na utu wema na misimamo ktk mambo mema na kuwa tiyari kulipa gharama muhimu.R.I.P Nelson Mandela
View attachment 2987570
Godbless Lema
Mtandao wa X
====
Hii ni Kauli ya mtanganyika ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameiita Kauli hii ni ya Kipumbavu
Namuunga mkono Lema 100%
Nawatakia Sabato Njema π
Ameshaonesha kuwa yeye ni mtu wa kupigania tumbo lake na watoto wake, hayuko pale kwa ajili ya wananchi wake.Nkamia ni dhaifu anajulikana hivyo angeambiwa atoe ile hela ya zamani ya mjerumani yenye tundu ili watoto wende shule asingekataa tuwakatae watu wa hivyo kwenye uongozi jamaa dhaifu sana!
Huyu ni CCM mnafiki no 1.Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga , ni kama uwe mahabusu halafu mkeo aseme nilitembea na OCD ili upate dhamana kwenye shitaka lako la kuendesha gari ukiwa umelewa!!
Maisha yetu yanapaswa kufundisha watoto wetu TABIA thabiti na utu wema na misimamo ktk mambo mema na kuwa tiyari kulipa gharama muhimu.R.I.P Nelson Mandela
View attachment 2987570
Godbless Lema
Mtandao wa X
====
Hii ni Kauli ya mtanganyika ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameiita Kauli hii ni ya Kipumbavu
Namuunga mkono Lema 100%
Nawatakia Sabato Njema π
Kwani bado ni mbunge?Ameshaonesha kuwa yeye ni mtu wa kupigania tumbo lake na watoto wake, hayuko pale kwa ajili ya wananchi wake.
Hata huyu akitoka atamtupia mishale.
Ni Kweli Rais Samia awaangalie kwa jicho la 3 wale praise team na ChawaAmeshaonesha kuwa yeye ni mtu wa kupigania tumbo lake na watoto wake, hayuko pale kwa ajili ya wananchi wake.
Hata huyu akitoka atamtupia mishale.
...hela ya zamani yenye tundu"...!Kuchokana huko!ππππNkamia ni dhaifu anajulikana hivyo angeambiwa atoe ile hela ya zamani ya mjerumani yenye tundu ili watoto wende shule asingekataa tuwakatae watu wa hivyo kwenye uongozi jamaa dhaifu sana!
Sio kenge tu mm napenda kuziita black mambasπ€£π€£π€£Hata sasa hivi kuna kenge nyingine ziko busy kusifia upumbavu ili zipendwe na Samia. tuna nchi iliyojaa wapumbavu sijapata kuona
Shujaa Magufuli alimtema alishagundua Unafiki wake yeye na Kessy wa NamanyeleKwani bado ni mbunge?
Huyu hata nukta anaweza kutoa ili wanawe wapate mlo. Bure kabisa hii kenge majiHizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga , ni kama uwe mahabusu halafu mkeo aseme nilitembea na OCD ili upate dhamana kwenye shitaka lako la kuendesha gari ukiwa umelewa!!