Juma Nkamia acha uongo!

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,252
8,003
Jamani wakati mwingine kama mtu hujui kitu ni bora kukaa kimya tu!

Huyu Juma Nkamia asitake kuudanganya umma kuwa eti bunge la Uingereza halioneshwi live! Huu ni uongo kuongea kitu ambacho mtu hakijui kwa kujipendekeza tu.

Yeye kufanya kazi kama kibarua BBC (kwa mujibu wa hotuba ya KUB 2013) haimaanishi kuwa unaweza kusema lolote kuhusu bunge la Uingereza.

Shule ni kitu muhimu sana, NAPE NNAUYE alisema kuaw kipindi chote ambacho TBC hsioneshi matangazo ya biashara huwa wanaonesha matangazo ya bunge na kulisabibishia shirika hilo la umma hasara.

Nkamia na Nape watuambie ni muda gani BBC huwa wanaonesha matangazo ya biashara? Amewahi kusikia wapi BBBC linajiendesha kwa hasara au kwa faida.
 
Kama hata aliwahi kudanganya yeye ni mwandishi wa habari unategemea nini kutoka kwa mtu wa aina hii.Yeye ni mtangazaji tu lakini alisema ni mwandishi wa habari wabunge wakapigwa butwaa.
 
Huyu Mkamia ni jipu lingine lililojaa usaha uliooza. Uwezo wake wakufikiri unatia shaka unazidiana kidogo tu na huyu mpuuzi mwenzake Nepi chupi!
 
Msihangaike na wakisemacho wabunge wa ccm, hao no sawa na ukiumwa Tumbo kuharisha ingawa sio jambo zuri lakini utasikia nafuu
 
Msihangaike na wakisemacho wabunge wa ccm, hao no sawa na ukiumwa Tumbo kuharisha ingawa sio jambo zuri lakini utasikia nafuu
utashangaaa kwa mfano itokee magufuli aingilie kati kuhusu kurusha live bunge hayo hayo manyumbu utasikia yakipiga meza zao kushangilia. he he he ma CCM NIshidaaaa
 
utashangaaa kwa mfano itokee magufuli aingilie kati kuhusu kurusha live bunge hayo hayo manyumbu utasikia yakipiga meza zao kushangilia. he he he ma CCM NIshidaaaa
Ndivyo walivyo mkuu, kama ningekuwa kijana mdogo na mzazi wangu ni Mbunge wa ccm anayeweza kubadilika kauli kwa unafiki wa aina hiyo wallah salami ya shikamoo ningeifuta kwake kwani huyo hata ukimwambia amkane mwanae ili apewe cheo anaweza kufanya hivyo
 
Kanusha with evidence na sio porojo. Wewe ndio sasa ndio ulitakiwa kukaa kimya!!

Queen Esther

 
hawawezi kuonyesha live

ripoti ya cag
epa
richmond
opereshen tokomeza
na uchaguzi znz


ni aibu kwa nji hii


wanafanya figisu figisu tuu...
 
Hiyo wizara ya habari ina bahati mbaya sana, katoka nkamia kaingia nape! Hii wizara itakuwa mbioni kufutwa naoan inadharaulika sana na wakuu wa nchi.
 
Na jambo la ajabu ni kwamba wanatolea mifano jambo ambalo kama huko mbele halifanyiki basi na huku pia lisifanyike, lakini kwa mambo mengine yanayofanyika huko ukihoji kwa nini huku pia yasifanyike wanakuja na vizingizio lukuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…