Juma Lokole: Ningepata bahati ya kuwa na Diamond ningejijenga kwanza mimi na kusaidia ndugu zangu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,720
215,797
Juma Lokole "wanawake wanachezea nafasi wanayoipata kwa Diamond..Ingekuwa mimi Ningejijenga Kwanza Mimi na Kusaidia Ndugu zangu" wa Mitandao ya Kijamii JUMALOKOLE Anasema Kuwa Diamond hachezei wanawake bali wanajichezea wenyewe...

Wanakimbilia kupata Mimba wakijua ndio Mondi Atawapenda Milele , Yaani Badala ya kuhakikisha wanajijenga Kupitia jina la Diamond na kusaidia ndugu zao Wenyewe wanakimbilia Kutundikwa Mimba, Wakiachwa wanaanza kutafuta huruma za Wananchi....

1583314355525.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom