Pre GE2025 Juliana Shonza: Wanaume leeni Watoto wenu, Wanawake tujishughulishe Kiuchumi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
2,865
1,319
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza akiwa Kata ya Chang'ombe Wilaya ya Songwe kwenye mkutano wa hadhara amewaasa Wanaume kutokimbia majukumu yao ya kutoa matunzo kwa watoto wao hata kama wameachana na wake au wapenzi wao.

"Wilaya ya Songwe, Rais Samia amefanya kazi nzuri sana, tumepata hospital ya kisasa ambayo imejengwa kwenye Wilaya ya Songwe. Wodi ya wanawake Vitanda vya kujifungulia na Vitanda vya wodini ni vya kisasa. Kata ya Chang'ombe hatuna deni na Rais Samia"

"Rais Samia, Zahanati na Vituo vya Afya tunavyo, madawa analeta na bado anaendelea kuleta watumishi. Ametoa maelekezo kwenye Zahanati, Vituo vya Afya, Hospitali za Wilaya na Hospitali za Mikoa, masuala ya wanawake kujifungua ni bure, wanawake msilipishwe chochote"
- Juliana Daniel Shonza, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe
WhatsApp Image 2025-02-28 at 09.16.13.jpeg

"Wanaume kutelekeza wanawake ni janga la Kitaifa sasa hivi. Mtaani Wanawake wanaolea watoto wao wenyewe (Single Mothers) ni wengi, ukiangalia changamoto ni Wanaume wanakwepa majukumu yenu" Juliana Daniel Shonza

"Wanaume naomba leeni watoto wenu, hata kama umekosana na mke wako au mpenzi wako kwasababu ana kiburi au dharau, wewe hujakosana na mtoto wako ile ni damu yako, hata kama mke ana kiburi wewe lea watoto wako"

"Wanaume wasiotunza watoto wao wapelekwe ustawi wa jamii kwa Maafisa Ustawi wa Jamii ngazi ya Kata na Wilaya ambapo mtakubaliana na itakulazimu baba kila mwezi kupeleka fedha za matumizi ya mtoto kwenye Ofisi ya Ustawi wa Jamii. Lakini changamoto ya haya yote ni Mwanamke kujishughulisha na kuwa na uchumi wako"
- Juliana Daniel Shonza

Kwani utazaa kila mwaka kama paka? Mwanamke ukizaa kila baada ya miaka miwili watoto watatu ndani ya miaka 8 unakuwa umemaliza kazi utashindwa kujishughulisha kiuchumi? Sema wanawake wengi niwavivu
 
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza akiwa Kata ya Chang'ombe Wilaya ya Songwe kwenye mkutano wa hadhara amewaasa Wanaume kutokimbia majukumu yao ya kutoa matunzo kwa watoto wao hata kama wameachana na wake au wapenzi wao.

"Wilaya ya Songwe, Rais Samia amefanya kazi nzuri sana, tumepata hospital ya kisasa ambayo imejengwa kwenye Wilaya ya Songwe. Wodi ya wanawake Vitanda vya kujifungulia na Vitanda vya wodini ni vya kisasa. Kata ya Chang'ombe hatuna deni na Rais Samia"

"Rais Samia, Zahanati na Vituo vya Afya tunavyo, madawa analeta na bado anaendelea kuleta watumishi. Ametoa maelekezo kwenye Zahanati, Vituo vya Afya, Hospitali za Wilaya na Hospitali za Mikoa, masuala ya wanawake kujifungua ni bure, wanawake msilipishwe chochote"
- Juliana Daniel Shonza, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe

"Wanaume kutelekeza wanawake ni janga la Kitaifa sasa hivi. Mtaani Wanawake wanaolea watoto wao wenyewe (Single Mothers) ni wengi, ukiangalia changamoto ni Wanaume wanakwepa majukumu yenu" Juliana Daniel Shonza

"Wanaume naomba leeni watoto wenu, hata kama umekosana na mke wako au mpenzi wako kwasababu ana kiburi au dharau, wewe hujakosana na mtoto wako ile ni damu yako, hata kama mke ana kiburi wewe lea watoto wako"

"Wanaume wasiotunza watoto wao wapelekwe ustawi wa jamii kwa Maafisa Ustawi wa Jamii ngazi ya Kata na Wilaya ambapo mtakubaliana na itakulazimu baba kila mwezi kupeleka fedha za matumizi ya mtoto kwenye Ofisi ya Ustawi wa Jamii. Lakini changamoto ya haya yote ni Mwanamke kujishughulisha na kuwa na uchumi wako"
- Juliana Daniel Shonza

Single Mother na kelele zao kwa Wanaume
 
Hii andunje kumbe bado ipo? Wakati ananunuliwa kuingia CCM Madelu alimtafuna sana
 
Back
Top Bottom