Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 931
- 5,886
Wizara ya Maendeleo ya Jamii kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NaCoNGO) inaandaa Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali litakalofanyika tarehe 04 - 06 Sept, 2024 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, Jijini Dodoma kuanzia saa 1.30 asubuhi.
Aidha, siku ya kilele cha jukwaa hilo, Mgeni Rasmi atakuwa Mhe. Dkt. Dotto M. Biteko (Mb), Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri wa Nishati (Mb).
LENGO LA JUKWAA:
1. Kujenga uelewa wa pamoja kuhusu uratibu na usimamizi wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali,
2. Kujadili mchango wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali katika Maendeleo ya Taifa,
3. Kubainisha namna shughuli za Mashirika hayo zinavyoweza kwenda sambamba na mipango ya Kitaifa,
4. Kuimarisha uhusiano baina ya Serikali na Mashirika hayo.
KAULIMBIU YA MKUTANO: (Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ni Wadau Muhimu, Washirikishwe Kuimarisha Utawala Bora).
MATUKIO YATAKAYOFANYIKA:
- Tarehe 04/09/2024 ni pamoja na kurudisha kwa jamii ikiwemo zoezi la huduma ya msaada wa Kisheria na kuonesha kazi mbali mbali za Mashirika Yasiyo ya Kiserikali.
-Tarehe 05/09/2024 itakuwa ni siku ya majadiliano kupitia mada mbalimbali zitakazowasilishwa.
-Tarehe 06/09/2024 itakuwa ni siku ya kilele cha Jukwaa.
WITO KWA WADAU; tafadhali jisajili na kuthibitisha ushiriki wako kupitia kwa Bi. Lilian Mganda, barua pepe: lilian.mganda@jamii.go.tz , simu namba: 0653 728 484 kutoka Ofisi ya Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali na kupitia Na. 0747175470 au barua pepe: adamsonrichardnsimba@gmail.com kutoka Baraza la Taifa la NGOs (NaCoNGO).
Karibuni sana ✍🏻🙏🏽
Tusikilize video fupi hapa chini tusome na mabango.
@maendeleoyajami