KWA UTAFITI WANGU LA KWANZA NI 1,MMU JAPO WENGI HUWA WANASOMA TU NA KUPITA, 2. JUKWAA LA SIASA, 3. HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO. HAYO TU MENGINE NI NYONGEZA TU KWA INTENTION YAKO, KAMA TECH,SCIENCE AND GADGET, KULINGANA NA MATATIZO YAKO, UKITAKA KUPUNGUZA STRESS! NENDA JOKES CORNER.