Wadau nimekutana na site moja hapa ambayo inakuwezesha kufahamu kama Simu unayomiliki ni kimeo kinachotakiwa kufungiwa na TCRA au lah. Unachotakiwa kufanya ni kutambua IMEI yako na kisha kuingiza na kisha kui serch kwenye sehemu husika ya web hiyo.
Nilichobaini karibuni...si simu zote *#06# inafanya kazi.
Je wataifahamu vipi hiyo IMEI?
Ok,ziada ktk kujua IMEI nje na *#06#...nenda setting utakuta option About Phone then go to status.
Wenye ziada wataendeleza.