charles kyutta
Member
- Feb 25, 2013
- 17
- 5
Watanzania mnatia aibu...Kwahiyo JK alikuwa na makatibu wakuu 22 wa wizara?ni kama ulikuwa moto wa mabua fulani kama umeshazima tayari. isije kuwa wameshamshughulikia wanaanga, tumuombee jamani.
Nadhani ungekuwa mstaarBu Kama ungemshMbuliA mtoa mada kwa hoja. Kama umeona hayuko sahihi mpinge kwa kwa wewe kieleza serikali iliyopitA ilikua na makatibu wangapi na sasa ni wangapi na ipi ni kubwa. Kushambulia tu doesn't mean nothingHalafu nimeona hapo mtoa post ameandika Magufuli ana makatibu 50...Hivi jamani, hata kutafuta taarifa sahihi hatuwezi!? Sasa tutawezaje kuwa taifa la uchumi wa kati ikiwa taifa lina vilaza wengi hivi!?
Safari za nje kafuta sio tu kupunguza gharama iko sababu nyingine nyuma ya pazia ila huijui.Ukijua kwanini kikao cha south africa alienda rais mstaafu na makamo wa raisi wakati kilikuwa muhimu na nchi zote walienda maraisi walioko madarakani kutokana na umuhimu wake utaelewa tu kwanini safari za nje zimesimamishwa.Serikali ya Kikwete ilikuwa na makatibu 22!? Nenda kajipange upya. Umechemka mbaya mtoa post.
Halafu ukitaka kujua moja ya tofauti ya serikali ya JK na Magufuli gusia suala la safari za nje. Hujui ni kiasi gani kilikuwa kinapotea...hakika ungejua ungekaa kimya tu.
mkuu funguka basi kwa manufaa ya gtJ
Safari za nje kafuta sio tu kupunguza gharama iko sababu nyingine nyuma ya pazia ila huijui.Ukijua kwanini kikao cha south africa alienda rais mstaafu na makamo wa raisi wakati kilikuwa muhimu na nchi zote walienda maraisi walioko madarakani kutokana na umuhimu wake utaelewa tu kwanini safari za nje zimesimamishwa.
Hutejambo la msingi kwangu mimi, sijali kama ana makatibu 22 au hata 100, ninachojali mii ni je, watafanya kazi na kuibadilisha nchi? basi, hata baraza lingekuwa kuuuubwa kama lina manufaa kwani kuna shida gani? tatizo ni pale wanakuwa wengi na hali inabaki palepale.
Nahurumia wazazi wako kuzaa zimwi bila kujua. Bora mama yako angetoa tu mimba yako kuliko kupata uchungu wa jitu la aina yako.J
Safari za nje kafuta sio tu kupunguza gharama iko sababu nyingine nyuma ya pazia ila huijui.Ukijua kwanini kikao cha south africa alienda rais mstaafu na makamo wa raisi wakati kilikuwa muhimu na nchi zote walienda maraisi walioko madarakani kutokana na umuhimu wake utaelewa tu kwanini safari za nje zimesimamishwa.
Huwa sina tabia ya kumjibu mtu akisema kuhusu mama.Nahurumia wazazi wako kuzaa zimwi bila kujua. Bora mama yako angetoa tu mimba yako kuliko kupata uchungu wa jitu la aina yako.
Iko siku itajulikana mkuu.Huwezi ficha udhaifu miaka yote iko siku udhaifu utajulikana tu.Lengo hapa ni jingine ambalo halitafanikiwa iko siku tu atanasa kwenye net. Yaani atajitahidi kukukuruka lakini lazima atanasa tu.Ila kuanzia mwaka huu nina wasiwasi speech zote hadi za wageni watakohudhuria hapa nchini zitakuwa kwa kiswahili hili nalitegemea muda mfupi ujao na hata tukienda nje tutazungumza kiswahili mkalimani awatafsirie ili kukuza lugha yetumkuu funguka basi kwa manufaa ya gt
Halafu nimeona hapo mtoa post ameandika Magufuli ana makatibu 50...Hivi jamani, hata kutafuta taarifa sahihi hatuwezi!? Sasa tutawezaje kuwa taifa la uchumi wa kati ikiwa taifa lina vilaza wengi hivi!?
Iko siku itajulikana mkuu.Huwezi ficha udhaifu miaka yote iko siku udhaifu utajulikana tu.Lengo hapa ni jingine ambalo halitafanikiwa iko siku tu atanasa kwenye net. Yaani atajitahidi kukukuruka lakini lazima atanasa tu.Ila kuanzia mwaka huu nina wasiwasi speech zote hadi za wageni watakohudhuria hapa nchini zitakuwa kwa kiswahili hili nalitegemea muda mfupi ujao na hata tukienda nje tutazungumza kiswahili mkalimani awatafsirie ili kukuza lugha yetu
Ni kweli marais wengi sana hawaongei kiingereza lakini hapa kwetu sio utamaduni wetu je utakapotaka kuuvunja unajua maneno ya watanzania? Subiri utaona maajabu ya musa muda si mrefuMkuu....:sitegemei kusikia kama tatizo lilikua ni lugha.....puliiz...,.
Marais wengi sana hawaongei kingereza......na pia sio issue kivile......hebu tufafanulie.....sababu hasa ilikua ni nini......