Judi wa Kishua
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,159
- 1,274
Joseph Mbilinyi wanakuita Sugu umetajwa mara nyingi sana mwenyekiti wako wa chama Tundu Lissu kuwa umepata uongozi wa kanda kwa kutumia rushwa. Lissu amesema mara nyingi ulitumia pesa kutoka kwa Abdul kumtoa madarakani rafiki yake mwanaCCM kwa sasa Peter Msigwa.
Hizi tuhuma ni nzito kwa sababu zinahusisha rushwa na kununuliwa uongozi na CCM. Nani atakuamini tena kwenye harakati za upinzani na unanunua uongozi kwa pesa za CCM?
Ili kuweka rekodi sawa toka hadharani ukanushe hizi tuhuma alizotoa hadharani mwenyekiti wako Tundu Lissu.
Umechafuka Sugu lazima umma uueleze nini haswa kilitokea Nyasa la sivyo career yako ya siasa Lissu ameimaliza.
Kama huwezi kujisafisha basi jiuzulu ili mwenyekiti afanye kazi yake na watu wasafi wasio na makandokando ya rushwa.