Inakuwaje wanajamvi!
Huyu mwamba namsifu sana kwa kukitukuza na kukitangaza Kiswahili.
Lakini badooo tena sana yani bado tu. Analazimisha. Yani levo yake ni shallow balaa chini kabisa.
Nimemchunguza dogo Kiswahili chake cha kawaida tu ila anajitahidi na kujitutumua kwenye hii lugha adhim.
Hawez kabisa kutufikia hata robo magwiji wa hii lugha.
Ila hatumkatishi tamaa tunampongeza nakumtia moyo katika harakati zake za kujuwa kuongea Kiswahili fasaha.
Lakini pia hatujaridhishwa na kiwango chake kwenye hii lugha mufti natunashangaa wanaomsifu.
Wengine wanaolazimisha Kiswahili fasaha ni Fatma karume shangazi, Salim Kikeke na PLO Lumumba.
Hasa huyu lumumba ndio kabisa kiswahili chake cha kukariri siyo asili anaongea misamiati yake ya kutunga na kusadikika.
Senior JF linguistics expert
Masters!