Joint Venture ya biashara ya ushonaji

cool d

JF-Expert Member
Jan 20, 2015
1,743
1,749
Habari! Wana JF, Ujasiliamali, Mimi nina ujuzi wa kubuni na kushona mavazi ya kike, ila sina vitendea kazi so natafuta mtu wa kuweza kununua vifaa vya Garment tushirikiane kwenye biashara hiyo.

Nawatakia wakati mzuri.
 
Habari! Wana JF, Ujasiliamali, Mimi naujuzi wa kubuni na kushona mavazi ya kike, ila sina vitendea kazi so natafuta mtu wa kuweza kununua vifaa vya Garment tushirikiane kwenye biashara hiyo. Nawatakia wakati mzuri.
Upo mji gani? Na uzoefu umeupataje? Kwa muda gani?
 
Yupo Dodoma mjini, amejifunzia Veta, uzoefu anao anafanya ufundi Wa kujitolea Kwa fundi mzoefu Wa fani hiyo.
 
Mimi ninavifaa vyote, niliitaji pia mtu wa kufanya naye kazi. Nipo Mwanza je unaweza kuja mwanza ? Tunaweza kuwasiliana na namba hii 0769727070
 
ok kwa ambaye yupo dar anicheki...nina duka na vitendea kazi vyote...mtaalamu ndo sina..
 
Habari! Wana JF, Ujasiliamali, Mimi nina ujuzi wa kubuni na kushona mavazi ya kike, ila sina vitendea kazi so natafuta mtu wa kuweza kununua vifaa vya Garment tushirikiane kwenye biashara hiyo.

Nawatakia wakati mzuri.
Yupo Dodoma mjini, amejifunzia Veta, uzoefu anao anafanya ufundi Wa kujitolea Kwa fundi mzoefu Wa fani hiyo.

Mleta post mbona unajichanganya?
Mara wewe,mara yule
 
Ahsanteni wote mlioonyesha ushirikiano, ashapatika partner Wa biashara hiyo, nawatakia mafanikio mema kwenye shughuli zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…