Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,096
- 5,592
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo kwenye mkutano wake na waandishi wa habari John Mrema alisema kuwa makada waliosaini waraka wa G55 wanatishiwa na maelekezo yameshafika hadi matawini kuwa wafukuzwe:
"Kuna utamaduni mpya umeanza kuonekana ndani ya CHADEMA siku za hivi karibuni, moja ni kuhusu wanachama na watia nia waliounga mkono waraka wa G55 kuendelea kutishiwa ndani ya chama, na maelekezo kupelekwa ngazi ya chini kabisa ya matawi ya chama kwamba yatufukuze uanachama wale wote tunaosema haki ya kugombea ni haki ya kikatiba kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, ni malengo ya CHADEMA, eti wafukuzwe uanachama, na maelekezo haya yamekwenda maeneo mbalimbali kwa viongozi wetu"
"Ni utamaduni mpya kwenye chama chetu, hatujawahi kuwa na utamaduni huo, ndani ya chama chetu tumeishi tukiwa na maoni na mitazamo tofauti kwa kipindi kirefu sana"